Yaani unipige mizinga mimi ukahonge mwanamme asiyekughalamia, una akili kweli? Wewe lia tu, sikusikilzi hata kidogo kwani najuwa una act tu.😀😀😀😀😀😀 ila yenu wanaume aaaah! Eti mmeumbwa hivyo, basi na sisi tumeumbwa hivyo
It's never too late kuwasusa wanawake wasiojitambua, unawaacha wachezewe na Nigerians kisha akili zikiwarudi wanarudi Uswahilini kutafuta Wasukuma na kujifanya kuwa wake bora kumbe walishachoka kutumika kiufusha.Too late