Siku nikisema nihadithie mikasa iliyonipata kwenye mapenzi members wote wa jf mtabubujikwa na machozi

Andka lecturer, lecture ni muhadhara na lecturer ni muhadhiri kama sjakosea kiswahili
 
Husitutishe!!
 
Wanaume kunyooshwa ni sawa tu maana nyie ndio wakali wa hizi kazi, si wa kuonewa huruma hata chembe.
 
Mwenyewe wanawake nishawashiba. Nishasomesha mara 3 ila wa mwisho ndo akanifanya niwe komandoo wa mapenzi. Wa kwanza nlimsomesha tu veta, nikaenda masomoni nje ya nchi nikakuta wahuni wameshamiliki na mpaka napanda ndege kurudi tulikuwa vizuri tu kumbe too late, nikqtemana nae, wa 2 naye nlimsomesha veta naye akiwa na mm kumbe alikuwa anatoka na wanafunzi wengine 3 mimi wa 4, wa 3 nlimsomesha chuo cha ushirika moshi diploma ya uhasibu nikiwa nalipa kilq kitu. Akauza mechi kwa wqnafunzi wenzake mdogo wake ndo alinisanua kuwa sister ana mtu na wamechumbiana kabisa. Huyu kwao walikuwa wwnanijua sababu nlikua nahudumia yeye na familia yake kwa kweli nlichokifanya hapa kichwa kingine ndo kilikuwa kinafikiria nlimla mdogo mtu mpaka leo ni dem wangu japo sio permanent ila tukionana tunakulana akiondoka anaenda kwa amtu wake. Mi nna mahusiano mengine. Walivyo maskini chuo kiliishia mwaka wa kwanza kwa sasa binti ni mhudumu wa kuosha vichwa wanaume saloon. Amechoka balaaa. Bahati ilioje dem nlienae wamesoma pia darasa moja hivyo full kuumia
 
Duuh hatari!
 
Saiz hata ukiww mrembo kama malaika ukizingua tu naondoka na kesho yake hata jina nimekusahau. Na sihudumii tena mwqnamke asiyenihudumia mimi. Sio kwa ngono maana naezaipata popote nikitaka, bali unisafishie nyumba, unizalie, unifulie and unipikie nitakupa kila kitu
 
Inaonekana unakipaji cha kusomesha.inaonekana pia huhudhurii vikao vya wanaume.
 
Sifanyi biashara ya kumsomesha mwanamke labda akiwa mke wangu full, so huyo mchumba mpya akashindwq kumsomesha au?
 
Ungelitiririka tu mweshimiwa ili tuishee stori tupumzishe akili.

Mambo ya Samia na Gwajipeople yametukinai.
 
Ukitaka mke mwenye utulivu, tafuta poligoni tu.
Huku ukiwa unachepuka kwa warembo taratibu; kuliko kuoa pisi kali inayokuwa inachapwa hovyo hovyo.
 
Wanaume kunyooshwa ni sawa tu maana nyie ndio wakali wa hizi kazi, si wa kuonewa huruma hata chembe.
Mbona sikuelewi nyie mmejiwekea tamaduni ni watu wakuonewa huruma kumbe hamna kitu nimatapeli tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…