Q Quencher JF-Expert Member Joined Jun 19, 2024 Posts 1,231 Reaction score 3,696 Jun 4, 2025 #41 Poleni sana, ila hakuna tuzo ya kushindania matatizo. Tuzidi kujiongezea thamani kama wanaume kwa mafanikio, hii jinsia nyingine tuishi nayo kwa akili
Poleni sana, ila hakuna tuzo ya kushindania matatizo. Tuzidi kujiongezea thamani kama wanaume kwa mafanikio, hii jinsia nyingine tuishi nayo kwa akili
Mama Edina JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 942 Reaction score 2,272 Jun 4, 2025 #42 Too late
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,181 Reaction score 7,382 Jun 5, 2025 #43 Kaory said: ππππππ ila yenu wanaume aaaah! Eti mmeumbwa hivyo, basi na sisi tumeumbwa hivyo Click to expand... Yaani unipige mizinga mimi ukahonge mwanamme asiyekughalamia, una akili kweli? Wewe lia tu, sikusikilzi hata kidogo kwani najuwa una act tu.
Kaory said: ππππππ ila yenu wanaume aaaah! Eti mmeumbwa hivyo, basi na sisi tumeumbwa hivyo Click to expand... Yaani unipige mizinga mimi ukahonge mwanamme asiyekughalamia, una akili kweli? Wewe lia tu, sikusikilzi hata kidogo kwani najuwa una act tu.
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,181 Reaction score 7,382 Jun 5, 2025 #44 Mama Edina said: Too late Click to expand... It's never too late kuwasusa wanawake wasiojitambua, unawaacha wachezewe na Nigerians kisha akili zikiwarudi wanarudi Uswahilini kutafuta Wasukuma na kujifanya kuwa wake bora kumbe walishachoka kutumika kiufusha.
Mama Edina said: Too late Click to expand... It's never too late kuwasusa wanawake wasiojitambua, unawaacha wachezewe na Nigerians kisha akili zikiwarudi wanarudi Uswahilini kutafuta Wasukuma na kujifanya kuwa wake bora kumbe walishachoka kutumika kiufusha.