Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tupu, sio yule Bibi kizee anayesema Watoto Yatima ni zao la uasherati na uzinziIna huzunisha sana.
Ila sio wote wanaopata Ukimwi, kwasababu ya sex ( ngono zembe ) au malaya. Tusihukumu waathirika, tuwapende tuwajari tuwatie moyo. Ingawa sasa hivi hofu ya ukimwi haipo watu wanatiana kama mbwa
Kichwani kuna makamasi mle 😁😁😁Kweli tupu, sio yule Bibi kizee anayesema Watoto Yatima ni zao la uasherati na uzinzi
Sio wanasingizia mkuu, logic ya HIV ni ngumu kuielewa kwa mtu wa kawaida, UKIMWI au HIV ni upungufu wa kinga mwilini sasa what follows baada ya kinga kuisha ndio kinachoua, mfano TB, Pneumonia, Cancers, Meningitis nk, so kwenye Cheti cha kifo sababu ya kifo inatajwa ule ugonjwa Marehemu alikufa nao! Ila naungana na wewe bado watu wanakufa ila yale makali kama ya ule wa 80s au 90s yamepungua thanks to ARVs.Hata sasa hivi mkuu Tsh unaua sana, ila wanasingia mala tb mala figo mala malaria sugu .. mala cansa, unafyeka sana, ukimwi haujaacha kuwa ukimwi mapigo yake ni yale yale
Kweli kabisa, elimu ya haya mambo ipo chini sana. Vijana wanaisha we huoni vijana wanavyokufa ? Sinza tabata na mitaa kama hiyo ni shida mkuuSio wanasingizia mkuu, logic ya HIV ni ngumu kuielewa kwa mtu wa kawaida, UKIMWI au HIV ni upungufu wa kinga mwilini sasa what follows baada ya kinga kuisha ndio kinachoua, mfano TB, Pneumonia, Cancers, Meningitis nk, so kwenye Cheti cha kifo sababu ya kifo inatajwa ule ugonjwa Marehemu alikufa nao! Ila naungana na wewe bado watu wanakufa ila yale makali kama ya ule wa 80s au 90s yamepungua thanks to ARVs.
Wazee wanabahati sana.wazee wangu hunambia tumekuzaa bila maambukizi itakuwa ajabu ukipata maambukizi
Parapanda italia parapandaPole mkuu!!
Kuna nyimbo sio za kuimba mbele ya wagonjwa
Pigo za ukimwi ni zile zile Tofauti yaje kwa sasa ni beat tu ila chorous ni ile ile..Hata sasa hivi mkuu Tsh unaua sana, ila wanasingia mala tb mala figo mala malaria sugu .. mala cansa, unafyeka sana, ukimwi haujaacha kuwa ukimwi mapigo yake ni yale yale
hahaha noma sanaPigo za ukimwi ni zile zile Tofauti yaje kwa sasa ni beat tu ila chorous ni ile ile..
Labda wewe bado una mawazo kwamba ukimwi ni ugonjwa wa kudhalilisha na unapaswa uwe ni siri, kwangu mimi sioni udhalilishaji wowote alioufanya, Mungu amlaze mahala pema mama yake.Mmm unamthalilisha mama yako,si kila kitu ukiposti,kama ni la kujivunza sawa waweza kuposti lakin hili sio la kujivunza.baba na mama hata wakifa waheshimiwe
Pole sanaIlikuwa kipindi Ferouz ndio ametoa wimbo wake wa starehe, mama alikuwa anaumwa ila nyumbani tulikuwa tunaambiwa anaumwa TB. Sasa siku jioni tumekaa mi nikaimba kipande cha wimbo wa Ferouz " starehe mnazipenda ila mwisho wake ni mbaya, wengi wameteketea kwa kuendekeza umalaya...."
Kwa kweli sikuwa nafahamu lolote ukizingatia nilikuwa mdogo, kumbe usiku tulipoenda kulala, mama akamuita bibi akamuuliza, "kwani huyu Haszu ni mdogo sana hajui mimi naumwa nini?" Asubuhi mapema sana bibi akaniambia nimsindikize shamba, tukaenda kufika akanijuza uhalisia.
Nililia, sema ndo hivyo haikuwa na jinsi. Kwa wale wakongwe wanafahamu miaka hiyo hali ilikuwa ni hatari sana.
My she rest in eternal peace.