Myfancyface
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 948
- 900
Mmm unamthalilisha mama yako,si kila kitu ukiposti,kama ni la kujivunza sawa waweza kuposti lakin hili sio la kujivunza.baba na mama hata wakifa waheshimiwe
Mawazo mgando.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmm unamthalilisha mama yako,si kila kitu ukiposti,kama ni la kujivunza sawa waweza kuposti lakin hili sio la kujivunza.baba na mama hata wakifa waheshimiwe
Hatari tupu na unapatikana sehemu pendwa.Acha kabisaaa watu walipata majipu kukaa hawawezi hali ilitisha macho yalitoka nje aisee ulitisha huu ugonjwa. Sisi tulikua wadogo lakini tuliuogopa
Hapo sasa