HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Sasa siku jioni tumekaa mi nikaimba kipande cha wimbo wa Ferouz " starehe mnazipenda ila mwisho wake ni mbaya, wengi wameteketea kwa kuendekeza umalaya...."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa siku jioni tumekaa mi nikaimba kipande cha wimbo wa Ferouz " starehe mnazipenda ila mwisho wake ni mbaya, wengi wameteketea kwa kuendekeza umalaya...."
Umeanza vizuri Sana ila mwisho umeharibu Sana!Ina huzunisha sana.
Ila sio wote wanaopata Ukimwi, kwasababu ya sex ( ngono zembe ) au malaya. Tusihukumu waathirika, tuwapende tuwajari tuwatie moyo. Ingawa sasa hivi hofu ya ukimwi haipo watu wanatiana kama mbwa
Died of, not with!Pole sana mkuu
Ukiona kuna zuri na kuna baya, ujue chanzo cha baya, huo ndio ukweli uchafu wa kingono umepitiliza kiasi tunaona humu mitaani madanguro guest bubu watu wanatiana kwa foleniUmeanza vizuri Sana ila mwisho umeharibu Sana!
Hali ilitisha sana miaka ile hlf waathirika wengi walikuwa ni watu na nusu yani watu wazuri kwelikweli humo kuna mahandsam boy wa nguvu na madada pisi kali lakn kwa kuwa hakukuwa na dawa unakuta mtu anapururuka adi anabaki kama mlingoti wa chuma.Pole sana mkuu. Ukimwi ulifyeka mtaa tulokua tunaishi yani kila mwezi msiba aiseee waliambukizana hapo hapo tuu wao kwa wao
Sawa lakin kisa chako hakina maana,yaan cha kipuuzi.weka jambo ambolo ni fundisho kwa watu.Labda wewe bado una mawazo kwamba ukimwi ni ugonjwa wa kudhalilisha na unapaswa uwe ni siri, kwangu mimi sioni ud.halilishaji wowote alioufanya, Mungu amlaze mahala pema mama yake.
Rest in peace ur mommy she died with HIV it pain Absolutely
Daaaah. NshomileRest in peace ur mommy she died with HIV it pain Absolutely
Acha kabisaaa watu walipata majipu kukaa hawawezi hali ilitisha macho yalitoka nje aisee ulitisha huu ugonjwa. Sisi tulikua wadogo lakini tuliuogopaHali ilitisha sana miaka ile hlf waathirika wengi walikuwa ni watu na nusu yani watu wazuri kwelikweli humo kuna mahandsam boy wa nguvu na madada pisi kali lakn kwa kuwa hakukuwa na dawa unakuta mtu anapururuka adi anabaki kama mlingoti wa chuma.
UKIMWI na malaria/kansa vinafanana kumbe! duhkwanini ukimwi mnauweka kwenye umuhimu was pekee?
Je angekufa na malaria isingeumiza?.
Yaani mtu akifa na ukimwi mnashangaa ila akifa na kansa hamshangai
Haujui?UKIMWI na malaria/kansa vinafanana kumbe! duh
TB na hayo magonjwa uliyotaja ni magonjwa nyemelezi yanatokana na UKIMWI.Mtu unaweza kuwa na UKIMWI lakini ukaishi muda mrefu kabla ya magonjwa hayo kujitokeza!!Hata sasa hivi mkuu Tsh unaua sana, ila wanasingia mala tb mala figo mala malaria sugu .. mala cansa, unafyeka sana, ukimwi haujaacha kuwa ukimwi mapigo yake ni yale yale
Nafikiri unaelewa vizuri kabisa bila kwenda kuichambua hojaTB na hayo magonjwa uliyotaja ni magonjwa nyemelezi yanatokana na UKIMWI.Mtu unaweza kuwa na UKIMWI lakini ukaishi muda mrefu kabla ya magonjwa hayo kujitokeza!!
Kila kuna ukipita .... wigu wigu wigu ...Ina huzunisha sana.
Ila sio wote wanaopata Ukimwi, kwasababu ya sex ( ngono zembe ) au malaya. Tusihukumu waathirika, tuwapende tuwajari tuwatie moyo. Ingawa sasa hivi hofu ya ukimwi haipo watu wanatiana kama mbwa