Siku nimebaki mimi na kipa tu na ghafla mpira ukugeuka sufuria la hela ndipo nilipoamini uchawi upo!

Tbr boys na milambo, kuna game zilikuwa zinaamliwa na waganga.

Kuna moja ya game tuliambiwa mtu afe na ndo tushinde maana jamaa walishawahi.

Tulikubali matokeo tu, mambo ya kuua sio mazuri.
 
Kiongozi upo KONGWA? au Dodoma mjini? Hiyo timu ilikuwa SINZA STARS? au Bafana Bafana? Hiyi timu ilishawahi kwenda Mpwapwa kucheza na HAZINA. Wakat wa kuingia ndani ya uwanja pale getin alikaa USTAADH mmoja alimgusa golikipa wa hiyo timu ya Mlali. Wakat mechi ikiendelea golikipa akawa haoni vizuri alikuwa akilna giza. Mlali walinyukwa 6-0. Uchawi upo
 
Nakumbuka moja game za timu za vijiji, mie nikiwa golini. Kuna jamaa mmoja mrangi alikuwa ticha.
Akaniletea mzizi niuweke mdomoni. Aisee ile game ilikuwa balaa.
Jamaa akaniambia hapa hawataona goli, na atakayejifanya jeuri atakutana na simba.

Huwezi amini ile game nilipiga goal kick tuu. Dk 90, jamaa hawakulenga goli, pamoja kuwa tulishambuliwa sana, mwisho wa siku ule ushindi bila shaka mashetani ndo walifunga goli.
 
By that time nlikua dom Town... Nilikodiwa tu kucheza hizo ligi
 
Mkuu ngoja kwanza
 
Hizi stori Utopolo hawajaja pm kuulizia huyo sheikh?
 
Hivi unajua alichofanya yule beki kilisaidia Congo wasipatwe na dhahama ya magoli?
 
Habari kaka.

Kuna dada nina shida nae, kuonesha nipo serious nimemwambia popote alipo niko tayari kumfata tuonane.

Mie nipo mitaa ya Ubungo.

Dada ameniambia anaishi Temeke Yombo. Amesema kama ni kuonana, basi isiwe mitaa ya mbali na Temeke. Yaani tusiende mbali. Anaishi kwao.

Mie Temeke sio mwenyeji, napajua Tandika kituo cha daladala na ile barabara ya kwenda Buza.

Naomba unielekeze Yombo iko pande gani. Yaani nafikaje.

Halafu kingine, maeneo ya huko Temeke kuna mahali tulivu naweza mpeleka mtu wangu tukakaa kwa ajili ya mazungumzo.

Wote hatunywi pombe.

Napenda sehem iwe na mandhari tulivu, romantic. Tuweze kuongea kwa utulivu, kisha giza likiingia nimrudishe kwao Yombo mie nirudi Ubungo.

Nisaidie mkuu. Nampenda sana huyu dada.

Kuhusu usafiri nina private car.
 
yule mchezaji was Yanga alihisi refa kapiga filimbi ndio akaushika mpira
 
Buza ndio hukohuko Yombo. Hice za kwenda Buza zinatokea Tandika, hivyo sehemu rahisi kwa wewe kukutana nae ni hapohapo Tandika ambapo wewe unapafahamu.
 
Buza ndio hukohuko Yombo. Hice za kwenda Buza zinatokea Tandika, hivyo sehemu rahisi kwa wewe kukutana nae ni hapohapo Tandika ambapo wewe unapafahamu.
Ahaaaa....
Na kuhusu maeneo tulivu mitaa ya huko Temeke?

Yaani mfano restaurant nzuri, eneo romantic. Naweza mpeleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…