October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Hongera yake kwa kutimiza huo umriWaziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii ametimiza miaka 76 toka kuzaliwa.
Ametimiza na anaendelea kutimiza kusudio lake hapa duniani kwa kuwanyoosha magaidi na maadui wa Israel popote duniani. Kwa sasa hakuna mtu hapa duniani asiyemsikia au kumjua Mwamba huyu kiboko cha Magaidi wote duniani.
Hongera sana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kazi kubwa uliyoifanya huko Gaza, Lebanon, Syria, Iraq, Yemen na huko Iran. Dunia inakuheshimu sana wewe ni kiboko na kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko kwa Waajemu.
Sisi wananchi wenye hasira kali October 29,tutakurarua Vibaya mno
Mkiwateka kabla ya kutoa matamko yao mtakuwa na ushahidi gani?Huyo kiongozi wa kisiasa yeye yupo CCM na Kwa cheo chake ni Waziri wa wizara nyeti. Mipango yenu haitafanikiwa kwani kufikia kesho mtakuwa mpo nguvuni.
Mkiwateka kabla ya kutoa matamko mnakuwa na ushahidi gani?
Mo29Kiongozi mmoja ni wadini. Yule mwingine wa kisiasa. Wapo mbioni kutoa kauli ngumu ya kuunga mkono maandamano. Kiongozi huyu atajitokeza yeye na uongozi wake. Akiwashawishi waumini wake na madhehebu ya kikristo kuyaunga mkono maandamano.
Kwa sasa yupo mafichoni hukohuko Dar pembezoni mwa bahari. Huyo kiongozi wa kisiasa yeye yupo CCM na Kwa cheo chake ni Waziri wa wizara nyeti. Mipango yenu haitafanikiwa kwani kufikia kesho mtakuwa mpo nguvuni. Na bado
So Sasa Hivi Ukihisi tu Mtu anataka Kuvunja Amani Mnamuweka Kapuni.. Kuhisi napenyewe ni Kosa?Muhimu nchi ibaki na amani
Octoba Poor Brain anatoka
So Sasa Hivi Ukihisi tu Mtu anataka Kuvunja Amani Mnamuweka Kapuni.. Kuhisi napenyewe ni Kosa?
Bado hamjatosheka kutubagaza
Na wewe unatumia vpnKiongozi mmoja ni wadini. Yule mwingine wa kisiasa. Wapo mbioni kutoa kauli ngumu ya kuunga mkono maandamano. Kiongozi huyu atajitokeza yeye na uongozi wake. Akiwashawishi waumini wake na madhehebu ya kikristo kuyaunga mkono maandamano.
Kwa sasa yupo mafichoni hukohuko Dar pembezoni mwa bahari. Huyo kiongozi wa kisiasa yeye yupo CCM na Kwa cheo chake ni Waziri wa wizara nyeti. Mipango yenu haitafanikiwa kwani kufikia kesho mtakuwa mpo nguvuni. Na bado
Hakuna marefu yasiyo na ncha, mwisho wenu umefikaLindine amani ama sivyo tutawabagaza sana
Na wewe unatumia vpn
Baada ya jf kufungwa sabbu ya kupost maudhui ambayo tayari yapo mtandaoni
Yetu macho na masikio. Ila hiyo tarehe 29 mambo ni 🔥🔥
Hakuna marefu yasiyo na ncha, mwisho wenu umefika
Hakuna marefu yasiyo na ncha, mwisho wenu umefika