Siku nzuri za ukombozi ni sikukuu zote za kidini (Eid na za kikiristo) na most importantly siku za mechi kubwa Simba na Yanga

Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
705
Reaction score
1,369
Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure......

UTANGULIZI

Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji

1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia)

2. Mapambano ya kimtandaoni, ila naona vijana wa IT wa hii nchi ni bure, angepatikana hata mmoja wa kucheza mifumo mikubwa nchini (mfano TISS na BOT), ushindi ungepatikana. Ila ndo hivyo watu wameshindwa hata kushusha account ya millard ayo ipotee kabisa Instagram na youtube, clearly hatuna watu wenye ufanisi

MAIN AGENDA

Adui yetu ni Iddi Amin mama na mfumo uliomuweka madarakani (CCM)

Mpaka hio mifumo miwili ifutike ni nchi hii, ni swala la muda kabla hatujaanza kuishi kama mashetani upande wa huduma za kijamii, kama sasa hivi unaona huduma ni mbovu basi HUJASEMA.

Kwa saa hii vita ni kati ya watu wa uchumi wa kati na uchumi wa chini, sababu sisi ndio tuna kipato kidogo kumudu gharama premium za kila siku (shule, makazi, usafiri.... etc) bila kukopa kopa na kufanya kazi maradufu kupata kidogo...

Sasa basi kitu hii serikali haina ni akili, siku za sikukuuu ni siku ambazo watu wanatarajiwa kutoka kuenjoy, je watakua na kigezo gani kuzuia watu kutoka? Na wakizuia dunia nzima itaona bado tutaendelea kupata visibility ya yanayoendelea...

Siku za Simba na Yanga, watu masikini ndo wananeemesha hizi club, kuanzia kununua jezi, kubet, uwanachama na vingine vingi...

Ni jambo la kijinga sana kukusanyika kujaza uwanja wa taifa kwaajili ya simba na yanga na kushindwa kutumia upenyo huo kuendeleza safari ya ukombozi....

Hii nchi ni yetu sote na imeharibiwa na wanasiasa wa CCM, watu ambao hata mbunge wala diwani mmoja hajaguswa hata kujiuzulu sababu ya ubatili uliopo ndo mtegemee ipo siku wataipeleka hii nchi mbele na hatimaye maendeleo ya nchi yalingane ma rasilimali zilizopo?? NI NDOTO ZA ABUNUWASI....

Ewe kijana ambae hujaoa wala kuolewa na wala huna mtoto, kama unahisi maisha yako as an individual ni magumu, basi jua bado hujasema mbele ni kugumu zaidiiiiiiii

HITIMISHO

Kukata tamaa kwetu ndio kushindwa kwetu, na hakuna mahali tutafika na CCM

N.B naomba uzi huu ufike mbali, hata huko majukwaa mengine nje ya jamii forums... (instagram, twitter (x), threads na facebook)

Fbn Mshana Jr
 
Watu wengi hawaungi mkono madhara ya maandamano hata kama wanakubaliana na baadhi ya hoja zenu.

Hakuna maandamano yanayoweza kutokea bila kuwa na athari ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja.

Watanzania wameweza kuunganisha maandamano yenu na ugumu wa maisha unaofuatia baadae.

Kwa sababu hamuonekani kuumizwa na shida zao ambazo mmeshazitengeneza tangu tarehe 29 October wamewaweka kwenye kundi la vijana ambao aidha ni wadogo sana vichwani au wanaishi nje ya nchi hivyo hawaguswi na mateso yanayoletwa na maandamano.
 
Ukishaita neno sikukuu inamaanisha kuna baadhi ya watumishi wengi wa serikali hawatoenda kazini,

Pili neno sikukuu linatoa uhuru kwa mtu kuamua kutoka nje ama kutotoka hivyo serikali inaweza kuamua kkulazimisha kutotoka kwa vigezo watakavyopendezwa navyo,

Mfano hiyo siku baadhi ya watu kwa hofu ya maandamano wanaweza kuamua tu kubaki ndani na kuacha krismas au eid ipite tu.... Ila wachache wenye ajenda ya maandamano watakapotaka kutoka moja kwa moja wanaweza kutafutiwa sababu za kutotoka au kuzuiwa kwa urahisi tu.

Ila kwa siku ya kawaida mfano leo ni nani ana option ya kutoka au kutotoka ?
Ni siku ya kawaida hivyo ni lazima mamilioni ya watu waende mjini na kufanya shughuli zao.

Ila kwa siku za sikukuu watu wana option ya kutoka au kutotoka na hapo ndo inakuwa rahisi kupiga pin watu na ndo udhaifu wa kupanga maandamano hizo tarehe za sikukuu.
 
binadamu akikaribia kufa, hua anakuaga mbishi na mwenye mawazo ya kilofa sana,
nadhani anakua kama mtu alie changanyikiwa vile,

hafurahii tena mambo ya dunia hii ila anatamani zaidi kuR.I.P kilofa kabiasa ili aende huko juu anapostahili

R.I.P in advance gentleman :pulpTRAVOLTA:
 
Watu wengi hawaungi mkono madhara ya maandamano hata kama wanakubaliana na baadhi ya hoja zenu.

Hakuna maandamano yanayoweza kutokea bila kuwa na athari ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja.

Watanzania wameweza kuunganisha maandamano yenu na ugumu wa maisha unaofuatia baadae.

Kwa sababu hamuonekani kuumizwa na shida zao ambazo mmeshazitengeneza tangu tarehe 29 October wamewaweka kwenye kundi la vijana ambao aidha ni wadogo sana vichwani au wanaishi nje ya nchi hivyo hawaguswi na mateso yanayoletwa na maandamano.
MUNGU akuondolee ujinga ulionao kichwani, siwezi kwenda back and forth na mtu ambao hawezi kuona mbali.

Hivi unadhani kipindi cha kupigania uhuru hakuna watu walilipia gharama ya kuupata uhuru???

Nikwambie tu mihimili ya nchi hii mitatu

1. Executive...
Imebeba Rais asiye na uwezo na mawaziri ambao ni kikundi cha ndugu na marafiki na mbaya zaidi hawana uwezo wowote...

2. Bunge
Ambalo limebeba watu wasio na uwezo dizaini ya baba levo, babu Tale... mbaya zaidi hamna room ya check and balance

3. MAHAKAMA
Hii imekua kinara wa kuvunja sheria na kuwatengezea wavunja sheria urahisi wa kuvunja sheria tena na tena....

Sasa hivi tu graduates ni bodaboda na mawinga... bado vijana walioshia form 4 kurudi nyuma. Na bado kuna kundi kubwa jipya la vijana zaidi ya milioni 20 litakua mtaani within 10 years

Halafu umekaa hapo unadhani una nchi itakayoleta maisha bora yanayoendana na rasilimali.

Nikwambie tu kama bado huna watoto tunza hayo mabao yako au mayai yako sababu utawaleta kwenye shida na nchi ya hovyo na umasikini usio wa lazima
 
Siku ya mechi Simba na Yanga fursa nzuri ya kufikisha ujumbe wa haki kwa wote. Piga ndege wawili kwa jiwe moja. Maandamano baada ya mechi
 
Ukishaita neno sikukuu inamaanisha kuna baadhi ya watumishi wengi wa serikali hawatoenda kazini,

Pili neno sikukuu linatoa uhuru kwa mtu kuamua kutoka nje ama kutotoka hivyo serikali inaweza kuamua kkulazimisha kutotoka kwa vigezo watakavyopendezwa navyo,

Mfano hiyo siku baadhi ya watu kwa hofu ya maandamano wanaweza kuamua tu kubaki ndani na kuacha krismas au eid ipite tu.... Ila wachache wenye ajenda ya maandamano watakapotaka kutoka moja kwa moja wanaweza kutafutiwa sababu za kutotoka au kuzuiwa kwa urahisi tu.

Ila kwa siku ya kawaida mfano leo ni nani ana option ya kutoka au kutotoka ?
Ni siku ya kawaida hivyo ni lazima mamilioni ya watu waende mjini na kufanya shughuli zao.

Ila kwa siku za sikukuu watu wana option ya kutoka au kutotoka na hapo ndo inakuwa rahisi kupiga pin watu na ndo udhaifu wa kupanga maandamano hizo tarehe za sikukuu.
Ngoja tuone... kikubwa muafaka ufikiwe, tayari sikukuu za kiserikali ni jambo lisilowezekana
 
MUNGU akuondolee ujinga ulionao kichwani, siwezi kwenda back and forth na mtu ambao hawezi kuona mbali.

Hivi unadhani kipindi cha kupigania uhuru hakuna watu walilipia gharama ya kuupata uhuru???

Nikwambie tu mihimili ya nchi hii mitatu

1. Executive...
Imebeba Rais asiye na uwezo na mawaziri ambao ni kikundi cha ndugu na marafiki na mbaya zaidi hawana uwezo wowote...

2. Bunge
Ambalo limebeba watu wasio na uwezo dizaini ya baba levo, babu Tale... mbaya zaidi hamna room ya check and balance

3. MAHAKAMA
Hii imekua kinara wa kuvunja sheria na kuwatengezea wavunja sheria urahisi wa kuvunja sheria tena na tena....

Sasa hivi tu graduates ni bodaboda na mawinga... bado vijana walioshia form 4 kurudi nyuma. Na bado kuna kundi kubwa jipya la vijana zaidi ya milioni 20 litakua mtaani within 10 years

Halafu umekaa hapo unadhani una nchi itakayoleta maisha bora yanayoendana na rasilimali.

Nikwambie tu kama bado huna watoto tunza hayo mabao yako au mayai yako sababu utawaleta kwenye shida na nchi ya hovyo na umasikini usio wa lazima
Hakuna nchi yenye afadhali, dunia nzima inapita katika kipindi kigumu. Deni la kidunia la kiuchumi ni kubwa kulinganisha na kile kinachozalishwa.

Ongezeko la watu halina uwiano na uwezo wa nchi katika kutimiza majukumu muhimu ya kiuchumi, hii ni hali ya kidunia.

Maandamano yanaongeza umaskini ambao tayari upo wa kutisha huko mitaani. Watanzania wa kawaida waliomuunga mkono Mange wamegundua ni kichaa kama vichaa wengine walio katika mitaa ya jiji la Dar.

Usijichanganye kuhamasisha maandamano, huko nje utapigwa risasi ufe ukiwa bado kijana mdogo.

Rais asingekuwa na uwezo asingeweza kujenga bandari za Dar, Tanga na Bagamoyo kwa wakati mmoja.

Asingeweza kumalizia miradi aliyoachiwa na hayati JPM akaja na miradi mipya ya kwake mwenyewe.

Bunge linafanya kazi ya maana na uchumi unakwenda mbele baada ya kurudi nyuma.
 
Baki na unachokiamini... nimesoma paragraph ya kwanza nikaona huna maana
 
No isiwe sikukuu za kidini maana kwa watu kama samia mwenye akili ya kuku atasema Wakristo hawamtaki kisa Muislam na kwamba wanamkataa kwa sababu ya dini yake.

Naunga mkono iwe siku za mpira tena siku ya derby kama Simba na Yanga au Azam.
 
Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure......

UTANGULIZI

Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji

1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia)

2. Mapambano ya kimtandaoni, ila naona vijana wa IT wa hii nchi ni bure, angepatikana hata mmoja wa kucheza mifumo mikubwa nchini (mfano TISS na BOT), ushindi ungepatikana. Ila ndo hivyo watu wameshindwa hata kushusha account ya millard ayo ipotee kabisa Instagram na youtube, clearly hatuna watu wenye ufanisi

MAIN AGENDA

Adui yetu ni Iddi Amin mama na mfumo uliomuweka madarakani (CCM)

Mpaka hio mifumo miwili ifutike ni nchi hii, ni swala la muda kabla hatujaanza kuishi kama mashetani upande wa huduma za kijamii, kama sasa hivi unaona huduma ni mbovu basi HUJASEMA.

Kwa saa hii vita ni kati ya watu wa uchumi wa kati na uchumi wa chini, sababu sisi ndio tuna kipato kidogo kumudu gharama premium za kila siku (shule, makazi, usafiri.... etc) bila kukopa kopa na kufanya kazi maradufu kupata kidogo...

Sasa basi kitu hii serikali haina ni akili, siku za sikukuuu ni siku ambazo watu wanatarajiwa kutoka kuenjoy, je watakua na kigezo gani kuzuia watu kutoka? Na wakizuia dunia nzima itaona bado tutaendelea kupata visibility ya yanayoendelea...

Siku za Simba na Yanga, watu masikini ndo wananeemesha hizi club, kuanzia kununua jezi, kubet, uwanachama na vingine vingi...

Ni jambo la kijinga sana kukusanyika kujaza uwanja wa taifa kwaajili ya simba na yanga na kushindwa kutumia upenyo huo kuendeleza safari ya ukombozi....

Hii nchi ni yetu sote na imeharibiwa na wanasiasa wa CCM, watu ambao hata mbunge wala diwani mmoja hajaguswa hata kujiuzulu sababu ya ubatili uliopo ndo mtegemee ipo siku wataipeleka hii nchi mbele na hatimaye maendeleo ya nchi yalingane ma rasilimali zilizopo?? NI NDOTO ZA ABUNUWASI....

Ewe kijana ambae hujaoa wala kuolewa na wala huna mtoto, kama unahisi maisha yako as an individual ni magumu, basi jua bado hujasema mbele ni kugumu zaidiiiiiiii

HITIMISHO

Kukata tamaa kwetu ndio kushindwa ikwetu, na hakuna mahali tutafika na CCM

N.B naomba uzi huu ufike mbali, hata huko majukwaa mengine nje ya jamii forums... (instagram, twitter (x), threads na facebook)

Fbn Mshana Jr

Ila maandamano hayafai aisee,vitu viilipanda bei maradufu,maisha gafla yalikuwa taiti kwa raia
 
Bila ukombozi maisha yataendelea kuwa magumu maradufu (mtu wa kati na wa chini kuishi kama mashetani ni swala la muda)

Basic needs za kawaida tu nchi hii tunazipata kwa manyanyaso makubwa sana
 
Sikukuu yoyote ile haifai sio ya kiserikali wala ya kidini, siku ya kawaida ndo tarehe nzuri.
Watu wasio na akili awaelewi tulisha sema siku za sikukuu ambazo wafanyakazi na wanafunzi wapo majumbani hazifai ....pia maandamano yanatakiwa kuanzia mjini. Hii siku ya krismas walio panga ni wapumbavu sana ...tatizo la hizi harakati wapumbavu ndiyo wanaziongoza ...shida ipo hapo . Hivyo siku ya krismas ni kosa lingine kubwa sana .
 
Back
Top Bottom