kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,625
Labda mjaribu ChristmasKushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure......
UTANGULIZI
Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji
1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia)
2. Mapambano ya kimtandaoni, ila naona vijana wa IT wa hii nchi ni bure, angepatikana hata mmoja wa kucheza mifumo mikubwa nchini (mfano TISS na BOT), ushindi ungepatikana. Ila ndo hivyo watu wameshindwa hata kushusha account ya millard ayo ipotee kabisa Instagram na youtube, clearly hatuna watu wenye ufanisi
MAIN AGENDA
Adui yetu ni Iddi Amin mama na mfumo uliomuweka madarakani (CCM)
Mpaka hio mifumo miwili ifutike ni nchi hii, ni swala la muda kabla hatujaanza kuishi kama mashetani upande wa huduma za kijamii, kama sasa hivi unaona huduma ni mbovu basi HUJASEMA.
Kwa saa hii vita ni kati ya watu wa uchumi wa kati na uchumi wa chini, sababu sisi ndio tuna kipato kidogo kumudu gharama premium za kila siku (shule, makazi, usafiri.... etc) bila kukopa kopa na kufanya kazi maradufu kupata kidogo...
Sasa basi kitu hii serikali haina ni akili, siku za sikukuuu ni siku ambazo watu wanatarajiwa kutoka kuenjoy, je watakua na kigezo gani kuzuia watu kutoka? Na wakizuia dunia nzima itaona bado tutaendelea kupata visibility ya yanayoendelea...
Siku za Simba na Yanga, watu masikini ndo wananeemesha hizi club, kuanzia kununua jezi, kubet, uwanachama na vingine vingi...
Ni jambo la kijinga sana kukusanyika kujaza uwanja wa taifa kwaajili ya simba na yanga na kushindwa kutumia upenyo huo kuendeleza safari ya ukombozi....
Hii nchi ni yetu sote na imeharibiwa na wanasiasa wa CCM, watu ambao hata mbunge wala diwani mmoja hajaguswa hata kujiuzulu sababu ya ubatili uliopo ndo mtegemee ipo siku wataipeleka hii nchi mbele na hatimaye maendeleo ya nchi yalingane ma rasilimali zilizopo?? NI NDOTO ZA ABUNUWASI....
Ewe kijana ambae hujaoa wala kuolewa na wala huna mtoto, kama unahisi maisha yako as an individual ni magumu, basi jua bado hujasema mbele ni kugumu zaidiiiiiiii
HITIMISHO
Kukata tamaa kwetu ndio kushindwa kwetu, na hakuna mahali tutafika na CCM
N.B naomba uzi huu ufike mbali, hata huko majukwaa mengine nje ya jamii forums... (instagram, twitter (x), threads na facebook)
Fbn Mshana Jr
Mkituletea huu upumbavu kwenye Eid tutawatia sunnah bila ganzi
Majambazi wakubwa msio na huruma nyie.
Watoto wa Kitanzania waliokufa kwa sababu ya upumbavu wenu hawatoshi mnawashwa tena?
.Sasa tumeamua kuwatia adabu sisi wazalendo wenyewe.
Jipangeni mje.
Paka shume