Uchaguzi 2020 Siku Tano mgombea Urais wa CCM hafanyi kampeni, Kulikoni?

Huwa anaanzia alipoharibu jamaa yenu kisha anamalizia kwenye sera. Hiyo ndio maana halisi ya spana kadiri unavyokwenda mbele ndivyo inavyozidi kukaza
 
Nyundo za lissu si za mchezo mchezo, Jogoo kaingia bandani akawika lazima vijogoo vidogo vidogo vikae kimya na kujificha kwenye kona za banda.
 
Yupo bize anasuka mipango ya namna ya kufanikisha bao la mkono maana hali ni mbaya kwerikweri
 
Tena ikiwezekana alale ikulu asubiri kuapishwa, ndio atajua kama hajui
 
nasikia gia zimepandiana kila akitaka kuondoka anafeli, Lisu ameipigilia sana nati spana
 
Muache uongo sawa ?
 
Niko Mbeya town hapa getoni kwangu nimetulia, linapita gari la promo za Meko now linapiga kelele tu,, Siku anakuja mzee wa Spana Lissu hakukua na promo ka hizi ila watu tulijaa viwanja vya Rwandanzovye...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu si athumani walioitwa wapumbafu huko CCM , wezi wa mali za chama , waliofukuzwa uwaziri kwa kudhalishwa , wengine kwa bastola, wengine kunyang'anywa magari wakiwa juu ya majukwaa mikoani kikazi wanaombwa ? Wanabembelezwa wasaidie kupiga kampeni ? Jiwe , Bashiru , Chakubanga Polepole wamechemka vibaya sana .
 
October tuikomboe nchi yetu, kapige nyundo tatu za utosi. Diwani, mbunge, raisi.
 

Attachments

  • FB_IMG_1600852742662.jpg
    27.7 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…