Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .