Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Lipi ambalo halikutekekezeka kabisa?Kabla ya kuwaza hayo, jambo ninalo kutaka utafakari ni kwanini Mwl alie kuwa na mawzao mazuri zaidi ya Polepole hakuweza tekeleza malengo yake ya kijamaakama alivyo fanikiwa ktk maeneo mengine, pili watanzania wangapi wako tayari kuishi sera za kijamaa?
Alijua kama nida tume ya uchaguzi pamoja na ccm ni kitu kimojaPolepole huyuhuyu? Binafsi nimeacha kumsikiliza maana ni kama anatafuta attention zaidi kuliko kutoa hoja.
Kwa kipindi kama hiki unaanzaje kutishia kwamba flan akiongea na mimi ndo nitataja!?
Kwanin asitaje moja kwa moja kama ni jambo ambalo wananchi wanapaswa kujua?
Ni wazi kinacho mpa shida zaidi Pole pole ni kuwa nje ya mfumo na si msukumo wa kizalendo.
Watanzania kwa kupenda ushabiki tunaona tumepata mtetezi.
Binafsi simuamini huyo bwana mkubwa kwakweli
Uliyajua hayo kama sio Polepole halafu humuelewi kwa lipi.Polepole huyuhuyu? Binafsi nimeacha kumsikiliza maana ni kama anatafuta attention zaidi kuliko kutoa hoja.
Kwa kipindi kama hiki unaanzaje kutishia kwamba flan akiongea na mimi ndo nitataja!?
Kwanin asitaje moja kwa moja kama ni jambo ambalo wananchi wanapaswa kujua?
Ni wazi kinacho mpa shida zaidi Pole pole ni kuwa nje ya mfumo na si msukumo wa kizalendo.
Watanzania kwa kupenda ushabiki tunaona tumepata mtetezi.
Binafsi simuamini huyo bwana mkubwa kwakweli
Lipi lipya ameongea? We hukujua ama haukutilia maanani tu?Uliyajua hayo kama sio polepole alafu humuelewi kwa lipi
Nakuunga mkono mkuu😁, hapa wanataka kututoa kwenye koloni la mjerimani wamuweke muingerezaPolepole huyuhuyu? Binafsi nimeacha kumsikiliza maana ni kama anatafuta attention zaidi kuliko kutoa hoja.
Kwa kipindi kama hiki unaanzaje kutishia kwamba flan akiongea na mimi ndo nitataja!?
Kwanin asitaje moja kwa moja kama ni jambo ambalo wananchi wanapaswa kujua?
Ni wazi kinacho mpa shida zaidi Pole pole ni kuwa nje ya mfumo na si msukumo wa kizalendo.
Watanzania kwa kupenda ushabiki tunaona tumepata mtetezi.
Binafsi simuamini huyo bwana mkubwa kwakweli
Ni binadamu tu amechoka kukumbatia uovuLipi lipya ameongea? We hukujua ama haukutilia maanani tu?
Simuelewi kwasababu siamin ana msukumo gan nyuma yake kufanya anavyofanya.
Ni kweli wewe huwezi kumuelewa Polepole kwa sababu huna unachokipata tofauti na kupewa na hao anaowatuhumu, Polepole anawajua wote ila hataki kuwataja kwa sababu anasubiri mtu ajioneshe mwenyewe ili Watanzania wajue machafu yake. Je ulijua kama Wasila alishawahi kumtusi baba wa taifa mwalimu Nyerere na kukimbia kupitia jikoni?Polepole huyuhuyu? Binafsi nimeacha kumsikiliza maana ni kama anatafuta attention zaidi kuliko kutoa hoja.
Kwa kipindi kama hiki unaanzaje kutishia kwamba flan akiongea na mimi ndo nitataja!?
Kwanin asitaje moja kwa moja kama ni jambo ambalo wananchi wanapaswa kujua?
Ni wazi kinacho mpa shida zaidi Pole pole ni kuwa nje ya mfumo na si msukumo wa kizalendo.
Watanzania kwa kupenda ushabiki tunaona tumepata mtetezi.
Binafsi simuamini huyo bwana mkubwa kwakweli
Moja hapo nimesemea sera za uchumi, na jibu la swali lako ni rahisi tu! Je uchumi wa Tz unaendehswa kijamaa? na kama sio, ni lini ulibadilishwa na kwasababu zipi? Historia ina majibu.Lipi ambalo hakikutekekezeka kabisa?
Kuwa nje ya mfumo kunamsumbuaje ilhali ni yeye mwenyewe ndiye aliomba kuwa nje?Polepole huyuhuyu? Binafsi nimeacha kumsikiliza maana ni kama anatafuta attention zaidi kuliko kutoa hoja.
Kwa kipindi kama hiki unaanzaje kutishia kwamba flan akiongea na mimi ndo nitataja!?
Kwanin asitaje moja kwa moja kama ni jambo ambalo wananchi wanapaswa kujua?
Ni wazi kinacho mpa shida zaidi Pole pole ni kuwa nje ya mfumo na si msukumo wa kizalendo.
Watanzania kwa kupenda ushabiki tunaona tumepata mtetezi.
Binafsi simuamini huyo bwana mkubwa kwakweli
Kwahiyo mtu asipojionesha mwenyewe Polepole ataendelea kuwafichia hayo machafu?Ni kweli wewe huwezi kumuelewa Polepole kwa sababu huna unachokipata tofauti na kupewa na hao anaowatuhumu, Polepole anawajua wote ila hataki kuwataja kwa sababu anasubiri mtu ajioneshe mwenyewe ili Watanzania wajue machafu yake. Je ulijua kama Wasila alishawahi kumtusi baba wa taifa mwalimu Nyerere na kukimbia kupitia jikoni?