Aliomba mwenyewe!?Kuwa nje ya mfumo kunamsumbuaje ilhali ni yeye mwenyewe ndiye aliomba kuwa nje?
Akitaja mtachukua hatua gani?Polepole huyuhuyu? Binafsi nimeacha kumsikiliza maana ni kama anatafuta attention zaidi kuliko kutoa hoja.
Kwa kipindi kama hiki unaanzaje kutishia kwamba flan akiongea na mimi ndo nitataja!?
Kwanin asitaje moja kwa moja kama ni jambo ambalo wananchi wanapaswa kujua?
Ni wazi kinacho mpa shida zaidi Pole pole ni kuwa nje ya mfumo na si msukumo wa kizalendo.
Watanzania kwa kupenda ushabiki tunaona tumepata mtetezi.
Binafsi simuamini huyo bwana mkubwa kwakweli
Uko sahihi. Ni kiongozi mzuri sana halafu haongozwi na jazba. Hata Bashiru Ali ni kiongozi mzuri.Kijana huyu anapoongea huchoki kumsikiliza. Hachoshi kama vile Mwalimu Nyerere Huwa hachoshi kumsikiliza hotuba zake. Polepole ana uwezo mzuri wa kujenga hoja na ana akili sana.
Unajua mtu mwenye uwezo wa kuongoza na kutenda Huwa anapimwa kwa njia tofauti na moja wapo ni uwezo wa kujenga hoja na kui practice hoja. Mimi nilivutiwa sana na creativity yake wakati akiwa katibu wa itikadi wakati wa Rais Magufuli. Alikuwa anasikiliza kero papo kwa hapo na kuzitatua. Hakika watu wengi walifaidika na kusaidika sana wakati wake ndugu zangu hasa wanyonge ambao Rais wa sasa amewakana.
Hoja za Polepole ni nzuri na ndivyo mataifa makubwa ya kijamaa yamefanikiwa kwa namna hiyo. Polepole ni aina ya watu ambao hata ukimpa dhamana ya Juu na hata ku present kitu mbele ya mataifa mengine au raia wa kigeni huwezi kuwa na mashaka kwamba anaweza kutindinganya au kubanganza lugha. The guy is fluent enough na ameelimika vizuri kabisa.
Mimi naona tumepata hasara kumpoteza kijana huyu kwasasa although naamini atarudi baadae tena katika nafasi ya Juu zaidi na mungu atatia wepesi. Binafsi namuombea kila siku kwa mungu kwanza awe salama na siku moja aje kulitumikia Taifa hili.
Ndugu zangu asikudanganye mtu wanyonge wanateseka nchi hii kwasasa basi tu. Nikiona mtu anasema anatiki October Huwa najiuliza huyu anaishi nchi Gani? Huduma za umma zimedorora Hadi aibu. Nitoe mfano Mimi mwenyewe mwezi wa 8 nilijaza fomu za kupata huduma ya maji kwenye nyumba yangu.
Nilichokutana nacho kwenye ofisi ya idara ya maji ni aibu na fedheha. Hadi Leo sijapata maji. Watu wanataka kwanza mzungumze pembeni. Kila nikiomba control namba naambiwa mtandao unasumbua.
Sasa kwa hoja hizi za Polepole naona kabisa ni nzuri na huenda akiwa kiongozi wetu tunaweza kutoka hapa.
"Watanzania ipendeni Tanzania kama mnavyowapenda mama zenu" maneno haya yalitamkwa na Mwl.Nyerere akiwa kitandani katika siku zake za mwisho hapa Duniani.
Naunga mkono hoja, Polepole nae ni fisadi wame mtimua wenzake ndio ana waponda. Wakimrudisha anatuliaPolepole huyuhuyu? Binafsi nimeacha kumsikiliza maana ni kama anatafuta attention zaidi kuliko kutoa hoja.
Kwa kipindi kama hiki unaanzaje kutishia kwamba flan akiongea na mimi ndo nitataja!?
Kwanin asitaje moja kwa moja kama ni jambo ambalo wananchi wanapaswa kujua?
Ni wazi kinacho mpa shida zaidi Pole pole ni kuwa nje ya mfumo na si msukumo wa kizalendo.
Watanzania kwa kupenda ushabiki tunaona tumepata mtetezi.
Binafsi simuamini huyo bwana mkubwa kwakweli
Ok, ubalozi unauchukulia ni nje ya mfumo?Aliomba mwenyewe!?
Unataka kusema Alijiuzulu mwenyewe ubunge? Malawi aliomba kupelekwa? Au Cuba
Kinachoonekana sasa hiv ni matokeo tu, ila alianza maneno na darasa lake lile la uongozi baada ya kuwekwa kando ya mfumo
Kitendo wewe kutumia kiswahili hilo teyari ni moja ya fanikio ya sera zs kijamaa.Kabla ya kuwaza hayo, jambo ninalo kutaka utafakari ni kwanini Mwl alie kuwa na mawzao mazuri zaidi ya Polepole hakuweza tekeleza malengo yake ya kijamaakama alivyo fanikiwa ktk maeneo mengine, pili watanzania wangapi wako tayari kuishi sera za kijamaa?
Mifumo haishushwi toka mbinguni, inatengenezwa na watu, hivyo ni lazima uwe na watu sahihi kwanza ili ujenge mifumo.Mpaka siku tutakapoacha kutegemea individuals na kuwa na Infrastructure ambayo ni fair and just na kufanya mambo kutokana na merit na mambo kufanywa na wadau wataalamu wa jambo husika na sio wanasiasa tutaendelea tu kubadilisha majina kwamba labda huyu au yule ndio atatutoa hapa mpaka pale... i.e. tukiwa na ramani ya kutoka hapa mpaka pale hata robot ataweza kuhakikisha tunatumia hio ramani
Alisema watu waweke record yanayo endelea, maana watakuja kuulizwa, utawala unaokuja, anaongea kimamlaka kabisa.Je wajua kwamba ndo ajaye ? Kupitia mlango fulan ? Keep this
Yote yanawezekana, ila kwa mindset hii aliyonayo sasa, bado naona atatuyumbisha sanaJe wajua kwamba ndo ajaye ? Kupitia mlango fulan ? Keep this
Nimesema specific ktk uchumi, na ndio ilikuwa hoja ya PolepoleKitendo wewe kutumia kiswahili hilo teyari ni moja ya fanikio ya sera zs kijamaa.
Hii nimeipata sehemu kabisaJe wajua kwamba ndo ajaye ? Kupitia mlango fulan ? Keep this
kabla ya ukame 1972-75, oil crisis ya 1973 na vita vya kagera, uchumi wa Tanzania ulikuwa ndiyo bora kabisa Afrika Mashariki.Nimesema specific ktk uchumi, na ndio ilikuwa hoja ya Polepole
Funguka hata pm.Hii nimeipata sehemu kabisa
Asante kwa maswali yako nikianza na la kwanza.Kwahiyo mtu asipojionesha mwenyewe Polepole ataendelea kuwafichia hayo machafu?
Kwa maendeleo ya taifa, hiyo ishu ya Wasira inawezaje kuwa hoja?
Yupo vizuri kutuhabarisha ila hafai kuwa namba moja..!!Je wajua kwamba ndo ajaye ? Kupitia mlango fulan ? Keep this
PJLK?Je wajua kwamba ndo ajaye ? Kupitia mlango fulan ? Keep this