- Thread starter
- #21
Ukisema Sala hiyo na kuamini pasi na shaka,Kwahyo mtu akisema tu hiyo sala anapata macho ya rohoni?? Ni Guarantee au kanjanja??
Utapokea uwezo, na utakuwa umekaribisha Mungu ndani ya maisha Yako.
Na hatua Kwa hatua utaongezeka kiimani na kupata viwango vya juu kama alivyo navyo mtumishi aliyesimulia.
Ubarikiwe.