Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Acha kiburi mkuuUmeandika upumbavu mtupu. Walokole kaeni chini na wachawi mkubaliane jinsi ya kufanya shughuli zenu maana wote nyie ni washenzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kiburi mkuuUmeandika upumbavu mtupu. Walokole kaeni chini na wachawi mkubaliane jinsi ya kufanya shughuli zenu maana wote nyie ni washenzi.
Acha uboya weweSalaam, shalom!!
Nitaeleza Kwa ufupi.
Siku Moja mpendwa wetu mmoja alifiwa na ndugu yake Kijiji fulani, tukalazimika kusafiri Toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine Kwa ajili ya maziko.
Tulipofika, kilikaa kikao na kuazimia mbuzi wawili wachinjwe Ili ipatikane nyama ya kulika msibani Kwa siku hiyo.
Mbuzi walichinjwa na kuandaliwa vyema muda ya asubuhi, ilipofika mchana, kililetwa chakula na watu wakala mchana na mbuzi alikuwa safi kabisa.
Sasa baada ya kuzika, nyama iliyobaki ilitunzwa Ili iliwe jioni siku hiyo,
Utata ukaja ilipofika jioni saa 12 wakati wa chakula,
Nilipokwenda kwenye pitapita ZANGU kama mmoja wa viongozi wa msafara, nilipata hamaki kubwa kuona yafuatayo,
Nyama Ile ya mbuzi sufuriani ilionekana kubadilika RANGI na kuonekana Kwa RANGI ya Bluu, na ilionekana kuota ukungu na kuwa kama nyama iliyooza na kukaa siku nyingi ni kama mzoga vile.
Nilipoona Yale, niliwaita ndugu nilioongozana nao msibani na kuwaonya kuwa, yule Si mbuzi tuliyekula mchana, niliwambia nyama imebadilishwa, na Si njema Kwa matumizi ya chakula.
Sasa Kwa kuwa wengi wao hawakuwa na macho ya Roho, walirudi kuiangalia nyama na kuiona Iko sawa na wakapuuza ujumbe na maonyo Yale na walikula chakula na nyama Ile jioni Ile.
Kilichofuata baada ya robo sana hivi, umati Ule uligeuka tafrani, tumbo la kuhara liliwashika wote waliokula nyama Ile, watu waliharisha mfululizo na Kwakuwa mazingira ya vijijini hakuna vyoo vya kutosha, uharibifu wa mazingira ulifanyika vichakani,
Watu wale pale kijijini waliokula nyama Ile waliendesha Kwa usiku kucha, na kesho yake, Kila Mmoja alijutia uamuzi mbovu wa kutosikia maonyo ya mtumishi wa Mungu. Baadae ilikuja fahamika kuwa kundi la wachawi mahasimu waliamua kuchukua nyama Ile nzuri wakaila wao na kuleta mzoga Ili kuwakomoa wafiwa Kwa faida zao kichawi.
FUNZO.
1. Makinika na ulaji wa nyama kwenye misiba, wengi hutafutwa kuangamizwa kichawi katika Makusanyiko ya aina Ile.
2. Ombea maji na chakula chochote kabla ya kula Kwa Imani, na ukisita kula usilazimishe.
3. Pata macho ya rohoni Ili uone sawasawa, uepuke hatari mbeleni.
Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.
Source: Mtumishi wa Mungu ( Jina linahifadhiwa).
Ndoto ni halisi,1.Nimeota kuna watu wawili kazini kwangu wanakula nyama ila hii nyama ni ya sehemu zao za siri.Nikiwauliza mnawezaje kula hiyo nyama je si sawa na mtu aukate mkono wake mwenyewe ale?Hawakunijibu waliendelea kula
2.Leo pia nimeota nilikuwa kwenye chumba nikawa natoka mlango ninaotoka unaingiliana na wa kuingia kanisa kubwa.Ndani ya hili kanisa niliona watu wengi sana wanasali ila altareni zipo picha na alama za kishetani.Sikuingia nikawa naondoka.Kufika getini nilikutana na mwanamke ambae alikuwa mlinzi.Alikuwa ananihoji nikamwambia huku nimekuja kumtembelea rafiki yangu ila hakutaka kunielewa.Tulianza kupambana na yule mwanamke alibadilika sura sura yake ikawa nyeusi kuanzia kwenye paji la uso hadi usawa wa chini ya pua,na nywele zikiwa zimetitimka.Tulipigana ila kwa nguvu za ajabu nilimrusha akakwama kwenye mti.Nikawa naondoka nikisononeka kwa nini sisi binadamu tunamuabudu shetani badala ya kumuabudu Mungu je Mungu akiamua tu ndani ya dakika chache si ataweza kuizima hii dunia?Basi nikiwa njiani kwa upepo wakisulisuli walishuka watu wawili warefu sana kutoka mbinguni watu hawa walikuwa wakielekea kule nilikotoka.
Loh!Inaweza ikawa stori tu ila ina neno ndani yake.Mimi mwenyewe nikishakunywa gongo huwa nakuwa mbishi sana.
Ndoto no 1.1.Nimeota kuna watu wawili kazini kwangu wanakula nyama ila hii nyama ni ya sehemu zao za siri.Nikiwauliza mnawezaje kula hiyo nyama je si sawa na mtu aukate mkono wake mwenyewe ale?Hawakunijibu waliendelea kula
2.Leo pia nimeota nilikuwa kwenye chumba nikawa natoka mlango ninaotoka unaingiliana na wa kuingia kanisa kubwa.Ndani ya hili kanisa niliona watu wengi sana wanasali ila altareni zipo picha na alama za kishetani.Sikuingia nikawa naondoka.Kufika getini nilikutana na mwanamke ambae alikuwa mlinzi.Alikuwa ananihoji nikamwambia huku nimekuja kumtembelea rafiki yangu ila hakutaka kunielewa.Tulianza kupambana na yule mwanamke alibadilika sura sura yake ikawa nyeusi kuanzia kwenye paji la uso hadi usawa wa chini ya pua,na nywele zikiwa zimetitimka.Tulipigana ila kwa nguvu za ajabu nilimrusha akakwama kwenye mti.Nikawa naondoka nikisononeka kwa nini sisi binadamu tunamuabudu shetani badala ya kumuabudu Mungu je Mungu akiamua tu ndani ya dakika chache si ataweza kuizima hii dunia?Basi nikiwa njiani kwa upepo wakisulisuli walishuka watu wawili warefu sana kutoka mbinguni watu hawa walikuwa wakielekea kule nilikotoka.
Ni upumbavu Kwa wapoteao, ila ni msaada mkubwa Kwa wanaoonewa na kufungwa na shetani.Acha uboya wewe
Utapeli mtupuKumbe tangazo.
Mambo ya kanda ya ziwa hayo kwa wasukumaSalaam, shalom!!
Nitaeleza Kwa ufupi.
Siku Moja mpendwa wetu mmoja alifiwa na ndugu yake Kijiji fulani, tukalazimika kusafiri Toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine Kwa ajili ya maziko.
Tulipofika, kilikaa kikao na kuazimia mbuzi wawili wachinjwe Ili ipatikane nyama ya kulika msibani Kwa siku hiyo.
Mbuzi walichinjwa na kuandaliwa vyema muda ya asubuhi, ilipofika mchana, kililetwa chakula na watu wakala mchana na mbuzi alikuwa safi kabisa.
Sasa baada ya kuzika, nyama iliyobaki ilitunzwa Ili iliwe jioni siku hiyo,
Utata ukaja ilipofika jioni saa 12 wakati wa chakula,
Nilipokwenda kwenye pitapita ZANGU kama mmoja wa viongozi wa msafara, nilipata hamaki kubwa kuona yafuatayo,
Nyama Ile ya mbuzi sufuriani ilionekana kubadilika RANGI na kuonekana Kwa RANGI ya Bluu, na ilionekana kuota ukungu na kuwa kama nyama iliyooza na kukaa siku nyingi ni kama mzoga vile.
Nilipoona Yale, niliwaita ndugu nilioongozana nao msibani na kuwaonya kuwa, yule Si mbuzi tuliyekula mchana, niliwambia nyama imebadilishwa, na Si njema Kwa matumizi ya chakula.
Sasa Kwa kuwa wengi wao hawakuwa na macho ya Roho, walirudi kuiangalia nyama na kuiona Iko sawa na wakapuuza ujumbe na maonyo Yale na walikula chakula na nyama Ile jioni Ile.
Kilichofuata baada ya robo sana hivi, umati Ule uligeuka tafrani, tumbo la kuhara liliwashika wote waliokula nyama Ile, watu waliharisha mfululizo na Kwakuwa mazingira ya vijijini hakuna vyoo vya kutosha, uharibifu wa mazingira ulifanyika vichakani,
Watu wale pale kijijini waliokula nyama Ile waliendesha Kwa usiku kucha, na kesho yake, Kila Mmoja alijutia uamuzi mbovu wa kutosikia maonyo ya mtumishi wa Mungu. Baadae ilikuja fahamika kuwa kundi la wachawi mahasimu waliamua kuchukua nyama Ile nzuri wakaila wao na kuleta mzoga Ili kuwakomoa wafiwa Kwa faida zao kichawi.
FUNZO.
1. Makinika na ulaji wa nyama kwenye misiba, wengi hutafutwa kuangamizwa kichawi katika Makusanyiko ya aina Ile.
2. Ombea maji na chakula chochote kabla ya kula Kwa Imani, na ukisita kula usilazimishe.
3. Pata macho ya rohoni Ili uone sawasawa, uepuke hatari mbeleni.
Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.
Source: Mtumishi wa Mungu ( Jina linahifadhiwa).
Kumbe ulitaka wote waone sio!!Ulivosema tu umeona pekeako nyama imeoza nikajua ni wewe ni muongo
Maombi yatosha, mambo ya chumvi mwachie Mshana Jr yule wa zamani Si mshana wa sasa.Mambo ya kanda ya ziwa hayo kwa wasukuma
NB: wanadai ili usiletewe mzoga ukuchinja mlishe mbuzi/ ngombe chumvi
ChaiSalaam, shalom!!
Nitaeleza Kwa ufupi.
Siku Moja mpendwa wetu mmoja alifiwa na ndugu yake Kijiji fulani, tukalazimika kusafiri Toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine Kwa ajili ya maziko.
Tulipofika, kilikaa kikao na kuazimia mbuzi wawili wachinjwe Ili ipatikane nyama ya kulika msibani Kwa siku hiyo.
Mbuzi walichinjwa na kuandaliwa vyema muda ya asubuhi, ilipofika mchana, kililetwa chakula na watu wakala mchana na mbuzi alikuwa safi kabisa.
Sasa baada ya kuzika, nyama iliyobaki ilitunzwa Ili iliwe jioni siku hiyo,
Utata ukaja ilipofika jioni saa 12 wakati wa chakula,
Nilipokwenda kwenye pitapita ZANGU kama mmoja wa viongozi wa msafara, nilipata hamaki kubwa kuona yafuatayo,
Nyama Ile ya mbuzi sufuriani ilionekana kubadilika RANGI na kuonekana Kwa RANGI ya Bluu, na ilionekana kuota ukungu na kuwa kama nyama iliyooza na kukaa siku nyingi ni kama mzoga vile.
Nilipoona Yale, niliwaita ndugu nilioongozana nao msibani na kuwaonya kuwa, yule Si mbuzi tuliyekula mchana, niliwambia nyama imebadilishwa, na Si njema Kwa matumizi ya chakula.
Sasa Kwa kuwa wengi wao hawakuwa na macho ya Roho, walirudi kuiangalia nyama na kuiona Iko sawa na wakapuuza ujumbe na maonyo Yale na walikula chakula na nyama Ile jioni Ile.
Kilichofuata baada ya robo sana hivi, umati Ule uligeuka tafrani, tumbo la kuhara liliwashika wote waliokula nyama Ile, watu waliharisha mfululizo na Kwakuwa mazingira ya vijijini hakuna vyoo vya kutosha, uharibifu wa mazingira ulifanyika vichakani,
Watu wale pale kijijini waliokula nyama Ile waliendesha Kwa usiku kucha, na kesho yake, Kila Mmoja alijutia uamuzi mbovu wa kutosikia maonyo ya mtumishi wa Mungu. Baadae ilikuja fahamika kuwa kundi la wachawi mahasimu waliamua kuchukua nyama Ile nzuri wakaila wao na kuleta mzoga Ili kuwakomoa wafiwa Kwa faida zao kichawi.
FUNZO.
1. Makinika na ulaji wa nyama kwenye misiba, wengi hutafutwa kuangamizwa kichawi katika Makusanyiko ya aina Ile.
2. Ombea maji na chakula chochote kabla ya kula Kwa Imani, na ukisita kula usilazimishe.
3. Pata macho ya rohoni Ili uone sawasawa, uepuke hatari mbeleni.
Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.
Source: Mtumishi wa Mungu ( Jina linahifadhiwa).
CCM hawana tofauti na hao WachawiSalaam, shalom!!

Kweli kabisa,CCM hawana tofauti na hao Wachawi
Mtumishi wa Mungu hadanganyi.Chai