Ukisema Sala hiyo na kuamini pasi na shaka,Kwahyo mtu akisema tu hiyo sala anapata macho ya rohoni?? Ni Guarantee au kanjanja??
Wachawi Wana mambo ya kipumbavu sana,Nilishudia kule Kanda ya ziwa watu wanaloga msibani kuni zinawaka mpaka zinaisha lakini maji ya kusongea ugali hayapati moto.
IPO siku utaona na utakumbuka nilichoandika.Umekaa ukatulia ukaona uje na story za kutunga?
Lipia tangazoIPO siku utaona na utakumbuka nilichoandika.
Shetani ndiye baba wa UONGO na waongo,
Baba yangu ni Mungu, hajawahi kusema uongo, sasa Mimi uongo unisaidie nn?
Nachokueleza kinawezekana kabisa wala hakina mashaka, pengine usingewaambia(hata kama kweli kimechezewa chakula) wasingepata shida yeyote.Sumu haionjwi.
Kwamba ukiona mtu akiweka Sumu kwenye chakula Cha umma, ukinyamaza, wanaweza wasidhurike na Sumu Ile?Nachokueleza kinawezekana kabisa wala hakina mashaka, pengine usingewaambia(hata kama kweli kimechezewa chakula) wasingepata shida yeyote.
Kwamba mdudu atumike msibani Kwa chakula🤔Hii huenda ni Geita au maeneo hayo maana hiyo michezo ni mingi sana
Inawezekana watu kubeza maana umeweka suala la Imani Yako hapo ila ulichoandika kipo sana Kanda
Nadhani dawa ni kuchinja nguruwe
Ni hatari sana kula misibani na kwenye shereheWachawi Wana mambo ya kipumbavu sana,
Hata kwenye harusi, wapishi wasipoombea chakula wakipikacho, ni Rahisi kuharibiwa, kisiive, au kuingiza makorokoro na uchafu wao ndani ya chakula.
Kuna mazingira utalazimika kula,Ni hatari sana kula misibani na kwenye sherehe
Mkuu, Macho ya rohoni unauza kiasi gani? Na kwa sisi tuliopo mbali tunalipaje na utatutumia kwa njia gani?2. Pata macho ya rohoni Ili uone sawasawa, uepuke hatari mbeleni.
Sasa hicho kilichoonwa ni sumu? Machizi wanakula vyakula vya majalalani ila hawaumwi ila kuna watu wakila kipolo tu wanaumwa tumbo.Kwamba ukiona mtu akiweka Sumu kwenye chakula Cha umma, ukinyamaza, wanaweza wasidhurike na Sumu Ile?
Saikolojia Ina mahala pake, na kilichoelezwa Wala hata hakihusiani na saikolojia.
Punguza ujuaji.
Karama ya Mungu, macho ya rohoni hutoka Kwa Roho mtakatifu aingiapo ndani ya mtu baada ya TOBA inayoambatana na Imani.Mkuu, Macho ya rohoni unauza kiasi gani? Na kwa sisi tuliopo mbali tunalipaje na utatutumia kwa njia gani?
Sasa utumbo wa kichaa alaye jalalanj na mtu mzima viko sawa ndugu mjuaji?Sasa hicho kilichoonwa ni sumu? Machizi wanakula vyakula vya majalalani ila hawaumwi ila kuna watu wakila kipolo tu wanaumwa tumbo.
Kumbuka huo mzoga haukuonekana kwa hao walaji, madai ya mzoga ni ya kiimani kutoka kwa mtu mmoja na ndio maana nakwambia upo uwezekano wa kuwa wameathiriwa kisaikolojia tu.Sasa utumbo wa kichaa alaye jalalanj na mtu mzima viko sawa ndugu mjuaji?
Uliza basi hata daktari aliye karibu akuelekeze,
Unadhani ni Rahisi kulishwa mzoga uliokaa siku kadhaa ulioanza kuoza ukabaki salama?
Jaribu utupe majibu.
Sasa hutakiwi kuleta mambo ya kisaikolojia ilhali mtumishi ameona na kuthibitishiwa kuwa ni chakula kichafu.Kumbuka huo mzoga haukuonekana kwa hao walaji, madai ya mzoga ni ya kiimani kutoka kwa mtu mmoja na ndio maana nakwambia upo uwezekano wa kuwa wameathiriwa kisaikolojia tu.
Mkuu mie sipingi michezo ya kishirikina kwenye kuchezea chakula ila hapo nimejaribu tu kuangalia kwa upande mwengine maana sio kila chakula chenye kuchezewa shughulini watu wataharisha.
Saikolojia ipo kwenye maisha yetu wala si kitu cha watu fulani tu.Sasa hutakiwi kuleta mambo ya kisaikolojia ilhali mtumishi ameona na kuthibitishiwa kuwa ni chakula kichafu.
Labda tatizo lako Unadhani watumishi wa Mungu hawawezi kubaini Siri na michezo ya wachawi.