Siku tuliyobadilishiwa nyama ya Mbuzi msibani kimiujiza!

Acha uboya wewe
 
1.Nimeota kuna watu wawili kazini kwangu wanakula nyama ila hii nyama ni ya sehemu zao za siri.Nikiwauliza mnawezaje kula hiyo nyama je si sawa na mtu aukate mkono wake mwenyewe ale?Hawakunijibu waliendelea kula

2.Leo pia nimeota nilikuwa kwenye chumba nikawa natoka mlango ninaotoka unaingiliana na wa kuingia kanisa kubwa.Ndani ya hili kanisa niliona watu wengi sana wanasali ila altareni zipo picha na alama za kishetani.Sikuingia nikawa naondoka.Kufika getini nilikutana na mwanamke ambae alikuwa mlinzi.Alikuwa ananihoji nikamwambia huku nimekuja kumtembelea rafiki yangu ila hakutaka kunielewa.Tulianza kupambana na yule mwanamke alibadilika sura sura yake ikawa nyeusi kuanzia kwenye paji la uso hadi usawa wa chini ya pua,na nywele zikiwa zimetitimka.Tulipigana ila kwa nguvu za ajabu nilimrusha akakwama kwenye mti.Nikawa naondoka nikisononeka kwa nini sisi binadamu tunamuabudu shetani badala ya kumuabudu Mungu je Mungu akiamua tu ndani ya dakika chache si ataweza kuizima hii dunia?Basi nikiwa njiani kwa upepo wakisulisuli walishuka watu wawili warefu sana kutoka mbinguni watu hawa walikuwa wakielekea kule nilikotoka.
 
Ubarikiwe sana mtumishi Rabbon
Mavuno ni mengi, watendakazi ni Wachache,

Tuendelee kumuombea Mungu azidishe watendakazi shambani mwa BWANA.

Imagine JF ndani ya saa 1 wanaweza soma watu elfu Moja, jambo ambalo Kwa kuhubiri Kwa nguvu ingechukua muda zaidi.

Mungu akubariki pia.
 
Ndoto ni halisi,

Ni Lango la kuingia ulimwengu wa Roho katika level ya kwanza/ chini. Hufuata maono.

Sasa kuota ni kuona.

Tofauti ya kuona huko ni Kwa mafumbo ambayo yanahitaji tafsiri sawa sawa na neno la Mungu.

Usipuuze ndoto, shirikisha watumishi wa Mungu wa Kweli kupata tafsiri sahihi Ili usaidike.

Mungu akubariki upande levels, uone live hata mchana.
 
Ndoto no 1.

Watu ulioowaona kazini kwako ni wachawi/ mapepo katika mwonekano wa WANADAMU.

Ndoto no 2.
Kanisa uliloliona Lina madhabahu ya shetani, ombea watu waliomo pia waepushwe na kufunguliwa vifungo vilivyowafunga pale,

Watu warefu ulioowaona katika upepo yaweza kuwa ni Malaika au mapepo inategemeana na mavazi waliyovaa, mwonekano wao na Amani au HOFU, utisho au furaha ilikuwaje ulipowaona.
 
Mambo ya kanda ya ziwa hayo kwa wasukuma

NB: wanadai ili usiletewe mzoga ukuchinja mlishe mbuzi/ ngombe chumvi
 
Mambo ya kanda ya ziwa hayo kwa wasukuma

NB: wanadai ili usiletewe mzoga ukuchinja mlishe mbuzi/ ngombe chumvi
Maombi yatosha, mambo ya chumvi mwachie Mshana Jr yule wa zamani Si mshana wa sasa.

Kanda ya Ziwa imetajwa sana, kumbe wamebobea kwenye mambo hayo, ukiwaona usoni wapoleee!!🤣
 
Chai
 
CCM hawana tofauti na hao Wachawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…