Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Simu za kazi maalumu huwa zinawashwa na kuzimwa muda maalumu na hukaa ofisini tu...

Nadhani mabazazi wamenielewa...

Mkuu wewe hii post haikuhusu, upo kwenye kundi la wakufunzi.

Shida ni kwetu kindergarten.

ERoni alichokisema ni kitu nakiwaza Mara Kwa Mara. Kwanini niwe na wasi wasi na simu yangu? Unakuta hakuna hata kitu Cha maana kinaendelea ni ujinga ujinga tu ambao kosa kidogo la kiufundi unawezakujikuta umetumbukia kwenye matatizo mazito.
 
Sasa mtu ana tunza porn clips za nini[emoji23][emoji23]?

Ukitaka kuangalia porn, nenda online ukimaliza yako clear browsing data.

Sasa unatunza porn mara mtu unayeheshimiana nae au mtoto avikute udhalilike wakati anytime unajipakulia online
Mkuu reference muhimu ujue, zinatunzwa.😁
 
Kuna mtu alituonesha jinsi anavyoficha mafolders yake kwenye simu kiasi kwamba hata ukipekua vipi huoni wala kutilia shaka yoyote, aisee wanaume nyie🙌 sisi ladies, we are royal hatuwezi kufanya hivo
 
Mkuu Watu8 ni mkufunzi😁😁😁anatakiwa kutoa somo kwa vijana namna ya kuishi, atafute upande, afundishe either wachepuke kwa tahadhari au waachane na hizi mambo as hazina manufacturers yoyote. Tatizo ni kuwa unaweza usiwe cheater physically, ila emotionally...yaani hizo flirts zako zinatosha kumfanya wife wako akose imani na wewe. I was once caught to be honest!
 
Kuna mtu alituonesha jinsi anavyoficha mafolders yake kwenye simu kiasi kwamba hata ukipekua vipi huoni wala kutilia shaka yoyote, aisee wanaume nyie🙌 sisi ladies, we are royal hatuwezi kufanya hivo
Wapo ladies wanaoenda toe-to-toe na wanaume siku hizi mkuu, what a man can do, a woman can do better.
 
Ndio
 
Don't bet on a man mkuu, niamini mimi!!
Cheat sawa but na mwanamke anyejitambua siyo kila kitu twende huwa inawacost.

Mfano,angalia Davido anavyodhalilishwa kwa kuchepuka na mwanamke kichaa huko marekeni.Anaanika chats zao, mara afanye PT insta live, mara amuingize mkewe Davido kwenye drama..

Siyo kila mtu wa kulala nae, Vingine viwapite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…