Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Inategemea na mtu.Binafsi mwakani nitakua 30 but I stopped flirting at the age of 26.

Kuanzia 16yrs( nilivyomaliza form 4 ) mpaka around 24 yrs, nimeflirt sanaaaa mpaka saiv naona ni utoto.

Ukifika 27 yrs, Usipende ku entertain ujinga ujinga au mazoea zoea ya hovyo aka sex chats na kila mtu hata kama si type yako.
Amekua mama, hongera sana
๐Ÿ™‡๐Ÿ™‡๐Ÿ™‡๐Ÿ™‡
We nyau hujambo?
Umeadimika ujue
 
Kitumbua kikishaingia mchanga si cha kusafishwa tena, kitakosa utamu.

Akinidaba no way out labda sura ya kutia huruma tu inisaidie.
 
Back
Top Bottom