Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Humu JF mtu anaweza akajiona mnyonge,kumbe wazee wanacheki reviews Mitandaoni then imeisha hio.
 
Safi sana.

Porsche ni mnyama na bei ya kinyama.
 
suburi haters na wajuaji wa jf waanze kuku attack.

thanks for writing an inspirating post.

Nashukuru kwa hilo
Hao mbona tunao wengi tu, ni kawaida sana

Kuna post ya magari miaka ya nyuma nikaandika tu nilikuwa namiliki Skyline GT back in 80’s mmoja akaandika utakuta hata baiskeli hauna [emoji23][emoji23]

Ila nimezoea
 
Niliyojifunza kuhusu kumiliki gari kwa hela za kudunduliza ni kwamba LITAKUTESA SANA. Nilifanyia makosa kama yako kununua SUV kali ya ndoto zangu kwa hela ya kudunduliza mpaka nikaiandikia Uzi huku.


Leo hii imepaki miezi 12 kama siyo 13. Brothet, watu hawakuonei wivu ila kumiliki gari Hilo kwa hela za mawazo za miaka zaidi ya mitano. Mnhhh!


Nimejifunza kwa makosa yangu. Kama wakati ungerudi nyuma ningenunua hizi

TOYOTA Pixis Epoch G, 2010>
HONDA Life G, Zest 2010>
NISSAN Moco, Otti 2010>
MITSUBISHI EK Wagon 2010>

DAIHATSU Mira, Move, Esse 2010>
SUZUKI Alto, Wagon R, Palette 2010>
SUBARU Stella, Pleo, Lucra 2010>
MAZDA Carol 2010>

Ila uzuri ni kuwa tunajifunza kwa makosa. Ninaamini utajifunza ama utainjoi. Jiandae kwa lolote.

Note: kwa mtu mwenye hela za kudunduliza tafadhali USIKURUPUKE. Utalichukia gari, utawachukia watu. Heri ununue hizo nilizotaja
 
Mpaka suspension iharibike umesikia anapanda milima na mabonde.
 
Salute Chief
 
Haya mawazo uchwara, umaskini na ya kijiweni ndio siyapendagi.
Uliwahi kulimiliki?
Unajua mishe zake?
Tuache kutishana...acheni watu waishi ndoto zao hata kwa mwezi inatosha historia imeandikwa.

Umeongea point man
 
Mbona hii gari imenunuliwa na mtu kutoka Malawi ? Au na wewe unakaa Malawi? Please see this link on the bottom aliyenunua anatoa positive feedback to BE Forward: Used 2003 LAND ROVER RANGE ROVER VOGUE/GH-LM44 for Sale BK265563 - BE FORWARD
Jf imejaa ujinga mwingi sana, sasa inasaidia nn mwanaume kupost gari ya mwanaume mwingine na kujifanya kama ni yake? kama mtu hana pesa ni hana tu kikubwa atafute apate, Inshort kwa haya aliyoyaonyesha ni kwamba ana poor mindset, and therefore he don't belong to this class. ALE UREFU WA KAMBA YAKO NA ASIINGILIE MALISHO YA WENGINE.
Extrovert Glenn newazz whyme Lyamber The Icebreaker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…