Nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kwenda Interview ya Bank Teller CRDB pale Azikiwe daah sijui ndo kiingereza au uoga maana nilikuwa nikiulizwa swali najibu kwa sauti kubwa kama napiga ADHANA MSIKITINI (Swalaa Swalaa saa 11 alfajiri) mpaka yule HR akaniambia ndugu hebu RELAX hiii sio vita!! si unajua tena umemaliza shule umekaa mtaani kazi huna ghafla uaitwa interview wee nilikremu vitu balaa kufika tu mi natapika hata nisivyoulizwa

Alaf kwap a linatoaga jasho lingi cjuh linatokaga wap?
Alaf kwap a linatoaga jasho lingi cjuh linatokaga wap?
Siku moja tupo kwenye seminar ya koz moja inaitwa rural agricultural economy maarufu kama YELLOW BOOK kwa waliosoma SUA wataelewa, basi picha moja ilikua imebandikwa ukutani ikapulizwa upepo ikadondoka chini jamaa kule mbele akiwa na maiki alisema "what is that, ooh the picture drop down without becouse" basi tulicheka sana
Wakati nipo A-level, kuna mwalimu mmoja wa O-level tulikuwa tunacheka sana parade siku akiwa zamu! Kuna siku akawa anawakataza wanafunzi wasipite shortcut ili kulinda mazingira akasema, "You, don't pass there, there is no method!" Watu wakashikilia mbavu zao!
Alikuwa ni mwalimu wa Fine arts! Alikuwa mbaya sana kwenye kuchora sema kiingereza ndo ilikuea issue! Halafu alikuwa 'mpiga maji' vibaya, akiwa kazini lazima awe 'amechangamka'!alikuwaa mwalimu wa hesabu nini
Wandugu kama mjuavyo wengi wetu tumesoma shule za st. Kayumba kwa hiyo Ngeli ni ishu kwetu. Basi kwa kuunga unga hivyo hivyo nikachaguliwa Chuo (UDSM) sasa kufika huko si ndo mambo ya Seminar za DS 101 natakiwa ni-present ilikuwa balaa usiku kabla ya seminar sikulala naogopa.
Kwenye seminar yenyewe sasa jasho lilinitoka mwili mzima balaa yaani naona nyota nyota tu daah! sitaki kukumbuka. Lakini namshukuru Mungu baada ya pale nilifanya bidii y kujifunza kwa kusoma zaidi vitabu vya kiingereza na kuongea na watu wasiojua kiswahili (hasa waganda, Wazambia & Waganda).
Angalau sasa mambo si mabaya Ulimi si mzito tena kiviile!!! English aisee ni hatari jamani. SHIKAMOO KIINGEREZA
Kipindi tupo O level, akaingia mwalimu wa zamu, akaagiza tujihesabu, ajue idad ya watoro, bas ghafla ikaanza One,Two,Three..... Kufika nyuma kimyaa, tunaanza tena, ikifika pale kimyaa, kumbe jamaa imewakutia namba 12,13,14,15 ilikua ni vita kuzitaja..! kwa usalama wote wakahamia mbele ili waanze na 0ne.. hizi si mteremko.
Mkuu naona bado na leo umechapia sio neno ndio kujifunza huku ni ''disperse'' na sio ''dispace'' Mbavu sina