Siku ya maandamona Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kutoka kwenye makazi yako

Usalama upi, angetekwa mamako mzazi ukamkuta ununio katobolewa macho akiwa mtupu ungeandika huu upuuzi.
 
Maandamano ya Amani ni HAKI yetu ya Kikatiba tutaandamana na Viongozi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…