Siku ya mashujaa: Bi. Khadija Mkomanile aliyebatizwa na kupewa jina la Jacinta kisha akanyongwa

Siku ya mashujaa: Bi. Khadija Mkomanile aliyebatizwa na kupewa jina la Jacinta kisha akanyongwa

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

Sal Davis, An Autobiography, Readit/Amazon, 2023, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
Hongera sana.

Amandla...
 
Yoso,
Hapana haja ya kunitukana.
Tunajadili historia hii unaeleza uyajuayo nami naeleza niyajuayo.

Sasa haya matusi ya nini?

Nimemuuliza Mwalimu Hussein Bashir ambae ameandika kitabu, ''Jihadi Kuu ya Maji Maji,'' ambacho ni kitabu kizuri sana kuhusu Vita Vya Maji Maji na yeye akanigusia kidogo tu kuhusu Bi. Khadija Mkomanile kama anavyozungumza hapo kwenye hiyo video.

Soma barua ya Chifu Songea bin Ruuf kwa Sheikh, Sultan Mataka bin Hamin Massaninga inasema:
''Asalaam Aleikum, Ninakuletea barua kupitia Kazembe.

Tumepata amri kutoka kwa Mwenyezi Mungu kuwa Wazungu lazima waondoke nchini.
Tupo katika kupigananao hapa.

Naamini tumeshapatana muda mrefu, (kwa hiyo) niletee wanao, ili tufanye ushirikiano.

Nilitaka kukuletea mifugo kama zawadi, lakini sipo katika hali ya kuweza kufanya hivyo, kwa kuwa vita ambavyo Mwenyezi Mungu amevitaka vinaendelea.

Niletee watumiaji bunduki mia moja, na niunge mkono katika kulivamia Boma (Songea).
Ninakuletea chupa ya Mtume Muhammad, ambayo ndani yake ipo nguvu ya kuwashinda Wazungu.

Usiwe na shaka nayo, ina uwezo mkubwa.
Tutakapoliteka Boma (Songea), tutakwenda kwenye vituo katika Nyasa pamoja, mimi na wewe.

Hivi sasa tusahau ugomvi wetu wa zamani.

Chupa hii, na daíwa, imeletwa na Chinyalanyala mwenyewe, kiongozi wa vita. Ameleta vilevile kombe, na anakupa salamu nyingi.

Endapo watu wako watakuja, Chinyalanyala mwenyewe atafika na atakupa vitu vingi vilivyo vitukufu.

Hassan bin Ismail anakusalimu.
Salam nyingi,

Sultan Songea bin Ruuf.''

20210305_092017~2.jpg

1615211415270.png
Hivi huu uongo(twisting and spinning) unakusaidia nini? Uko obsessed sana na udini, you're a through and through religious fanatic na kwa umri wako ulipaswa kuwa compassionate na mwenye upeo si tu wa kufanya research from different sources bali hata kuwa unatumia common sense kwani some things don't add up.
Mkoa wa Ruvuma hauna majority ya Muslims hivyo your numbers don't make sense, kuamini uongo(au kuwapotosha watu wenu kwa makusudi) ndiyo kunafanya watu wanaowaamini kuzidi kuwa mbumbumbu and sadly at times unapoambiwa ukweli unakimbilia kudai kuwa umetukanwa.
Kama kweli umemuamini huyo Hussein Bashir Abdallah seriously I feel sorry for you.
 
Monster,
Naelewa ghadhabu zako.

Nani alijua Songea Mbano jina lake Abdulrauf?

Nani alijua Mkomanile jina lake Khadija?

Kila hazina ina ufunguo wake.
Ufunguo wa elimu ni kuuliza yaani kutafiti.
 
Monster,
Naelewa ghadhabu zako.

Nani alijua Songea Mbano jina lake Abdulrauf?

Nani alijua Mkomanile jina lake Khadija?

Kila hazina ina ufunguo wake.
Ufunguo wa elimu ni kuuliza yaani kutafiti.

..kuna maelezo yoyote ya kwanini Wajerumani walitaka wafungwa / mateka wa vita vya Majimaji wabadili dini toka Uislamu kwenda Ukristo kabla hawajawanyonga?
 
Stori ZAKO hapa jukwaani huwa ni za kidini TU, yaani kuonesha uislamu, Mzee hakuna dini inaleta chakula mezani
 
Kule Zanzibar watumwa walikuwa wananunuluwa uhuru wao kutoka kwa waarabu unajuwa hilo. Siku nyingine utuletee na hilo
 
Fundi,
Siwezi kudai chochote.
Labda nikueleze kuwa huenda hunijui vyema.

Hili halina lawama.

Lakini nimealikwa katika vyuo kadhaa hapa nyumbani na nje ya mipaka kuzungumza.

Nimetiwa kwenye miradi kadhaa na wachapaji
wakubwa kuandika vitabu vya historia.

Hakika sijui maana ya citation na sijui mengi.
Unarudia yaleyale,
Huko ulienda kukariri tu.
Akili uliiacha pale gerezani,mitaa ya lumumba,kipata na sikukuu.
 
..kuna maelezo yoyote ya kwanini Wajerumani walitaka wafungwa / mateka wa vita vya Majimaji wabadili dini toka Uislamu kwenda Ukristo kabla hawajawanyonga?
JK,
Jibu la swali hili lingetoka Peramiho alikotoka Padri Yohannes Hafligger aliyewabatiza hawa majemadari wa Vita Vya Maji Maji.
 
Kule Zanzibar watumwa walikuwa wananunuluwa uhuru wao kutoka kwa waarabu unajuwa hilo. Siku nyingine utuletee na hilo
Kulagha...
Unaniuliza kama ninajua.
Historia ndiyo fani yangu.

Nami nakuuliza wewe ikiwa unaijua Transatlantic Slave Trade?
 
Monster,
Naelewa ghadhabu zako.

Nani alijua Songea Mbano jina lake Abdulrauf?

Nani alijua Mkomanile jina lake Khadija?

Kila hazina ina ufunguo wake.
Ufunguo wa elimu ni kuuliza yaani kutafiti.
Ghadhabu zangu, hilarious! Sikujua kama nina ghadhabu, that's breaking news to me and this says a lot about you.
Back then majority walikuwa wakiamini dini za jadi(try at least to do a little research, make sure you get knowledge, facts and data from reliable sources) na mpaka leo mkoa wa Ruvuma ni predominantly Christian majority hivyo hata itokee random counting of any sort hapatakuwa na uwiano unaoutamani, it's simply a basic concept & common sense.
-Hazina ya elimu ni kuuliza kama ulivyosema that's very true lakini je unauliza with open minded, do you balance your sources of information au unategemea tu information za islamists wenzako pekee kama vyanzo vyako vya tafiti ufanyazo?
Habari zako zote ziko religious biased,I used to think that you're intelligent but you've literally proved me wrong.
 
Stori ZAKO hapa jukwaani huwa ni za kidini TU, yaani kuonesha uislamu, Mzee hakuna dini inaleta chakula mezani
Kulagha...
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam historia ya inayohusu Uislamu na Waislamu kama, " Field of Inquiry
Unarudia yaleyale,
Huko ulienda kukariri tu.
Akili uliiacha pale gerezani,mitaa ya lumumba,kipata na sikukuu.

Stori ZAKO hapa jukwaani huwa ni za kidini TU, yaani kuonesha uislamu, Mzee hakuna dini inaleta chakula mezani
Kulagha...
Si dini ninachoandika kwa maana ya imani na mafunzo.

Mimi naandika kuhusu Waislam na Uislamu kama Field of Inquiry.
 
Ghadhabu zangu, hilarious! Sikujua kama nina ghadhabu, that's breaking news to me and this says a lot about you.
Back then majority walikuwa wakiamini dini za jadi(try at least to do a little research, make sure you get knowledge, facts and data from reliable sources) na mpaka leo mkoa wa Ruvuma ni predominantly Christian majority hivyo hata itokee random counting of any sort hapatakuwa na uwiano unaoutamani, it's simply a basic concept & common sense.
-Hazina ya elimu ni kuuliza kama ulivyosema that's very true lakini je unauliza with open minded, do you balance your sources of information au unategemea tu information za islamists wenzako pekee kama vyanzo vyako vya tafiti ufanyazo?
Habari zako zote ziko religious biased,I used to think that you're intelligent but you've literally proved me wrong.
Hii ni historia ya Vita Vya Maji Maji na mapambano mengine na Wajerumani kuanzia Pangani Kilwa hadi Songea.

Hii ni historia ya Abushiri bin Salim, Omar Hassan Makunganya na washirika wengine walionyongwa na Wajerumani.

Wale ambao hawako katika harakati hizi na waumini wa miungu ya jadi hakuna sababu ya kuingizwa.

Mimi nashughulishwa na Uislamu kama somo la utafiti kutaka kujua historia ya watu hawa.

Nimetaka kujua kwa nini Waislamu walikuwa mstari wa mbele?

Nataka kujua nini kilimfanya Mtwa Mkwawa aingie Uislamu?
 
  • kuwa mara nyingi shujaa huyu anatajwa kwa jina moja tu la "Mkomanile," lakini jina lake halisi alikuwa Khadija Mkomanile. Anasikitika kuwa katika maadhimisho na maonyesho mengi, jina lake la "Khadija" halionekani.
  • Kubatizwa kwa Lazima: Kabla ya kunyongwa na Wajerumani, Khadija na majemadari wenzake walipewa ofa na Yohannes Hafliga (kutoka Peramiho) kuwa ikiwa wangekubali kubatizwa, hukumu yao ya kifo ingefutwa. Khadija alipewa jina la kikristo la Yasinta, lakini bado walinyongwa baada ya ubatizo huo.
  • Kifo na Kuzikwa: Khadija Mkomanile ndiye mwanamke pekee aliyenyongwa na kuzikwa katika kaburi la halaiki pamoja na wanaume 66 huko Songea.
  • Upotoshaji wa Historia: kuna juhudi za kufuta utambulisho wa Kiislamu wa mashujaa wa Maji Maji. Anasema kuwa takriban asilimia 93 ya makamanda wale walikuwa Waislamu, akiwemo Nduna Songea Mbano ambaye jina lake la Kiislamu alikuwa Abdul Rauf.
  • Nyaraka Zilizopotea: Inatajwa kuwa kulikuwa na fremu ya kioo katika makumbusho ya Songea iliyoonyesha orodha ya majemedari 66 walionyongwa, ikiwa na majina yao ya Kiislamu na yale mapya ya Kikristo. Hata hivyo, fremu hiyo ilichukuliwa na Mjerumani mmoja mwaka 2009 na kupelekwa Ujerumani kwa ahadi ya kurejeshwa, jambo ambalo halijafanyika mpaka sasa

View: https://youtu.be/JO755vEkkcY?si=YoJLr9W1bTpLZtsA

Hivi Mwaka trh 25 Julai siku ya Mashujaa, mama gresi alizungumza jambo lipi na umma wa Tanzania?
 
Hii ni historia ya Vita Vya Maji Maji na mapambano mengine na Wajerumani kuanzia Pangani Kilwa hadi Songea.

Hii ni historia ya Abushiri bin Salim, Omar Hassan Makunganya na washirika wengine walionyongwa na Wajerumani.

Wale ambao hawako katika harakati hizi hakuna sababu ya kuingizwa.
Historia iliyojaa uongo obviously it wasn't meant for intelligent people.
 
Historia iliyojaa uongo obviously it wasn't meant for intelligent people.
Monster,
Kitabu cha Abdul Sykes nimekizungumza Northwestern University, Evanston Chicago kwa kualikwa na Prof. Jonathon Glassman.

Mtafute Jonathan Glassman na kitafute chuo chake.

Utajiongezea maarifa.
 
Back
Top Bottom