Haya yote Nyerere ndio aliwezesha maana aliwahi kukori kwa kinywa chake kuwa katiba ni mbovu. Angeweza kubadilisha lkn wakati huo aliona ipo upande wake.
Kwasasa majamaa yamesha weka mizizi ni ngumu sana kuwatoa kwa kweli.
Mambo ya ccm hayo wanajidanganya kuwa wako kwenye kumbukizi ya Nyerere kumbe wako kwenye kampeni ya kumfanya Samiah kuwa Rais wa milele ili waendelee kupiga madili.