Siku ya pili hii nalalia mhindi wa kuchoma na Maji. Naona kama ni kutaka tafutana ubaya

😁 mkuu mwanzo unatoa stori yako ya kufumania nikajua chai,Kumbe kweli?Toka hapo Kwa shemeji maana akimalizana na beki 3,atageukia kwako.
 
Hapo wewe ndio utajiharibia. Kuingilia mahusiano baina ya wenza katika ndoa, watu na wanawe, ni hatari na kamwe hautaaminika hata kama una nia njema. Waache wenyewe na maisha yao. Tafuta ya kwako.
 
Ubia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkakati[emoji1787][emoji1787]
 
Hama hapo kwa shemeji yako mkuu kapange ata chumba cha udongo.

Ni aibu sana kwa kijana kama wewe kuja na mada kama hii hapa jukwaani
Hawa watu nimewasaidia sana inaumiza moyo wangu
 
Hao watoto unaopeleka shule wao wanasoma Tanzania hii hii au mana shule zote zmefungwa Tanzania nzima..
Siku nyingine punguza eriki kwenye chai yako
Toka wamekufundisha neno chai basi kila sehemu unatumia. Darasa la 4 hawajafunga shule kwa taarifa yako.
 
Huyu mwamba ni uandishi wake huyu. Sio kwamba ni yeye ila anafikisha ujumbe kwa vijana wa siku hizi mchele mchele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…