Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Siku ya pili ofisini, Rais wa Zambia anasema ameteua team ya wataalam kuanza kufanya tathmini ya mfumo wa kodi wa nchi hiyo ili ufanyiwe mabadiliko makubwa ili kuondoa kasoro nyingi ambazo zimesababishwa na utawala uliopita katika uchumi wa nchi yao. Wakati Tanzania ndiyo kodi na tozo sasa zinamwagika.
My take:
Tanzania inabidi tuanze kujifunza kuweka mtumishi wa wananchi ikulu badala ya kuweka madikteta,vichaa na watu ambao hawana uwezo wa kuongoza ili tuanze kufurahia na kula mema ya Taifa letu kama ilivyo kwa binadamu wa Mataifa mengine duniani.