Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Zambia hela yenye thamani kama Tsh 5,000 unanunua umeme unapata unit 93 sijui Tanzania kwa hiyo 5,000 sijui utapata unit ngapi baada ya kukatwa hela ya Jengo+ VAT +REA nchi ngumu sana hii utadhani tupo jehanamu kwa viongozi wenye roho mbaya ya kina Mwigulu hautakuja kusikia punguzo la kodi mpaka wote tunaenda motoni hakuna kiongozi wa kwenda peponi pale...