Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mwigulu na Mpango ndio virusi kwenye uchumi wetu.
Bora hata Msukuma hana vyeti ila ana akili ya uchumi.
Haaaaahaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una haraka sana Mnama,nadhan tusubir baada ya fungate lake kwisha ndio tutapata majibu sahih kuhusu huyo mwamba na hiyo tume yakeSiku ya pili ofisini, Rais wa Zambia anasema ameteua team ya wataalam kuanza kufanya tathmini ya mfumo wa kodi wa nchi hiyo ili ufanyiwe mabadiliko makubwa ili kuondoa kasoro nyingi ambazo zimesababishwa na utawala uliopita katika uchumi wa nchi yao. Wakati Tanzania ndiyo kodi na tozo sasa zinamwagika.
View attachment 1908924
My take:
Tanzania inabidi tuanze kujifunza kuweka mtumishi wa wananchi ikulu badala ya kuweka madikteta,vichaa na watu ambao hawana uwezo wa kuongoza ili tuanze kufurahia na kula mema ya Taifa letu kama ilivyo kwa binadamu wa Mataifa mengine duniani.
Nyota njema huonekana asubuhiUna haraka sana Mnama,nadhan tusubir baada ya fungate lake kwisha ndio tutapata majibu sahih kuhusu huyo mwamba na hiyo tume yake
Ok sasa tunawapata wapi hao watu ambao si madikteta na si vichaa? maana tatizo linawezakuwa hatuna watu tofauti na hao.Siku ya pili ofisini, Rais wa Zambia anasema ameteua team ya wataalam kuanza kufanya tathmini ya mfumo wa kodi wa nchi hiyo ili ufanyiwe mabadiliko makubwa ili kuondoa kasoro nyingi ambazo zimesababishwa na utawala uliopita katika uchumi wa nchi yao. Wakati Tanzania ndiyo kodi na tozo sasa zinamwagika.
View attachment 1908924
My take:
Tanzania inabidi tuanze kujifunza kuweka mtumishi wa wananchi ikulu badala ya kuweka madikteta,vichaa na watu ambao hawana uwezo wa kuongoza ili tuanze kufurahia na kula mema ya Taifa letu kama ilivyo kwa binadamu wa Mataifa mengine duniani.
Kwa hiyo nchi nzima haina watu ambao wana akili timamu?Ok sasa tunawapata wapi hao watu ambao si madikteta na si vichaa? maana tatizo linawezakuwa hatuna watu tofauti na hao.
Hata kama huyu mwamba pamoja na tume yake watachemka hakipaswa kuwa ni kigezo cha kuhalalisha sisi Tanzania tuendelee kuwa na vichaa pamoja na madikteta ikulu.Una haraka sana Mnama,nadhan tusubir baada ya fungate lake kwisha ndio tutapata majibu sahih kuhusu huyo mwamba na hiyo tume yake
Kwani kila mtu yupo kwenye siasa? Magufuli angendelea kuwa mwalimu bila kujiingiza kwenye siasa urais angeupata vp?Kwa hiyo nchi nzima haina watu ambao wana akili timamu?
Ngoja tumalizie hii awamu ya wagagagigikoko nasi tuanze upyaSiku ya pili ofisini, Rais wa Zambia anasema ameteua team ya wataalam kuanza kufanya tathmini ya mfumo wa kodi wa nchi hiyo ili ufanyiwe mabadiliko makubwa ili kuondoa kasoro nyingi ambazo zimesababishwa na utawala uliopita katika uchumi wa nchi yao. Wakati Tanzania ndiyo kodi na tozo sasa zinamwagika.
View attachment 1908924
My take:
Tanzania inabidi tuanze kujifunza kuweka mtumishi wa wananchi ikulu badala ya kuweka madikteta,vichaa na watu ambao hawana uwezo wa kuongoza ili tuanze kufurahia na kula mema ya Taifa letu kama ilivyo kwa binadamu wa Mataifa mengine duniani.
Hata wewe unafaa,,jiamini!Kwani kila mtu yupo kwenye siasa? Magufuli angendelea kuwa mwalimu bila kujiingiza kwenye siasa urais angeupata vp?
Nitajie hao wanasiasa wenye akili timamu wanaweza kugombea urais tukawachagua kwa sababu wapo timamu?
Kwa hiyo nchi nzima haina watu ambao wana akili timamu?
Nyota njema huonekana asubuhiUna haraka sana Mnama,nadhan tusubir baada ya fungate lake kwisha ndio tutapata majibu sahih kuhusu huyo mwamba na hiyo tume yake
Hiyo ni kwa mujibu wa wahenga lkn kulingana na yale yaliyotokea kwa Kibaki, Chikwera na wengineo wa aina yake tuliowashuhudia kwenye ukanda wetu huu nadhan itapendeza km tutampa muda ili tujue undani wake.Nyota njema huonekana asubuhi