Siku ya Pili tu Jamaa nilimpiga IGNORE na sijam-UNIGNORE mpaka leo, do you know why? Usicheke maana hii haichekeshi

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
13,769
Reaction score
23,676
Forget.
Kifupi ni kwamba,

Sikuwahi kuamini kwamba mtu anaweza akaku-follow then next day anakuonyeshea kidole cha kukusonta na kukusontea anakupiga masingi tena kwa issue ya kijinga kijinga kaabisa how comes?

Kifupi ni kwamba,

JF tupo watu wa dizaini nyingi, watu wenye mawazo chanya na hasi, tabia, hulka, malezi, makuzi na fikra/uelewa tofauti, watu wenye kuchanganua na kuchambua mambo mengi kiundani na kwa kina zaidi bila kumeza funda la maji yaan papo kwa hapo watu wanaoweza kutembea kilometres na kwenda umbali mrefu zaidi kimawazo na kifikra wewe unaweza ukawaza hivi kumbe mwenzio anawaza vile unaweza ukaona hivi kumbe yeye anaona vile lakini ifikie hatua tuwe na mipaka.

Ngoja nimalize bia zangu nikalale.
Na hizi ni bia na km hunywi bia wewe ni mtoto nenda ukanyonye maziwa.
Usiniambie hizo picha za bia zipo wapi wewe juzi si ulituwekea chupa la Juice la afiya humu.
Kunywa bia ikuzoee.

Mods naomba mniwekee huu uzi mnapoona unafaa maana mimi nimeweka tu hapa sijui km ndio sehemu sahihi au la. Halafu tunywe bia kesho weekend.
VERBOSE
 
Du! Umepoteza muda wote. huo kuandika huu utopolo? Kama siyo kilevi, basi kacheki afya yako ya akili mwanangu. Pia, jifunze Kiswahlli.
 
Back
Top Bottom