Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari - 2022: Rais Samia awahimiza wanahabari kuzingatia mila na desturi za Kiafrika

Asante Muheshmiwa Rais wetu kwa kuona umuhimu wa Arushaa, kweli ww n Rais wa maono, tunakuombea uendelee hivyo kila kitu kifanyike huku kwetu ndipo wajanja walipo
Asanteee Kwa Leo umejua umuhimu wa kusherehekea Idd kwetu na pia siku ya Habari,
Kongole kwa waziri wangu Nape.
 
"Msidhani mna uhuru huo"
 
BAKWATA 0 - WANDISHI WA HABARI 1

Mungu anawaona BAKWATA & CCM kwa kusogeza sikuku ya eid mbele kisa ugeni rasmi wa Samia wakati Samia anaratiba nyingine na waandishi wa habari
🀣🀣🀣🀣
 
Maza akisikia tukio linafanyika chuga anajikuta lazima aende tuπŸ˜ƒπŸ˜ƒ sijui Siri ni nini?

Sisi wa nyanda za juu Kusini naona ameamua atakuja kuomba kura tu. Hakuna noma.
Hizo kura zenyewe anaweza asije na akashinda huko huko ntanda zenu🀣
 
Kwani wamesogeza mbele eid na wakati eid ni leo. Na unajua dini ya kiislam mwanamke ahudhurii msikitini wala kuongea mbele ya masheikh
Uislam sio dini ni ile

USSR
 
Ni kupiga misele tu.
Hana waziri wa eneo hilo.
 

Uzi wa waandishi wa habari una masaa manne una page 2!
 
Kila mara mnawaza kudhibiti kila kinachowanufaisha wananchi.Vyombo vya kidigitali vimesaidia kuondoa ukiritimba wa habari,vyombo vya analogia vinafilisika kwa kukosa wateja na mvuto kwa sababu ya udhibiti.Mtu akiongea mawazo yake anakamatwa na kushughulikiwa kama mhalifu,mnatamani hata kumtoa uhai.
Uhuru wa kupata habari usiwekewe mipaka kama ilivyo kwenye katiba.
 
Naona Deodatus Balile amemtambulisha Max Mello, kwa heshima na taadhima.

Amekiri kuwa Jamii Forum ni Jeshi la mtu mmoja, ambalo amesema hakuna mtanzania asiyeifahamu JF na inaongozwa na Shujaa wetu Max Mello.

Heko MelloπŸ‘πŸ‘
 
Jamaa anapenyezewa vikaratasi hadi anaharibu speech πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mafisadi yakisikia ivyo watasherekea

Wale waliomkuna kulipia royal tour sijui watakunwaje
Bilion saba inaweza ikawalipa matilion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…