Siku ya Wanawake Duniani isitumike kutengua maandiko ya vitabu vitakatifu

Vitabu vimemfanya mwanamke kuwa chini ya mwanaume, sasa kuna ulazima mwanamke nae apambanie haki yake, kuna wanawake wengi wenye akili na maarifa kuliko wanaume wengi, wanayo haki ya kuwa juu ya wanaume kama wamewazidi akili na maarifa
Superwoman hukohuko ukirudi ndani kwangu wewe mkia mimi ndio kichwa
 
Vitabu vimemfanya mwanamke kuwa chini ya mwanaume, sasa kuna ulazima mwanamke nae apambanie haki yake, kuna wanawake wengi wenye akili na maarifa kuliko wanaume wengi, wanayo haki ya kuwa juu ya wanaume kama wamewazidi akili na maarifa

Huyo mwanamke unamsema hapa anakua inferior kwa kijana wa kidato cha 3, akibishiwa utasikia kwakua mimi ni mwanamke ndio unanidharau
 
Vitabu vimemfanya mwanamke kuwa chini ya mwanaume, sasa kuna ulazima mwanamke nae apambanie haki yake, kuna wanawake wengi wenye akili na maarifa kuliko wanaume wengi, wanayo haki ya kuwa juu ya wanaume kama wamewazidi akili na maarifa

Sema wewe mwanaume hutimizi majukumu yako huelewi hata maana ya cheo chako ni kikubwa kias gan kwa nyumba.. lazima upinduliwe tu .. na wanaume aina hiyo siku hizo nikama 70%
 
Super woman mnaongela kwa nyanja ipi hasa??

Familia
Utafutaji
Nchi

Et all??
 
Uwe na siku njema mleta Uzi
 
tuiweke hivii......ndiyo Wanawake wana nguvu na Biblia imeonesha tunamuona Adamu alivyoshawishiwa na Hawa, Tunaona Delila alimvyomtuliza Samsoni, Tunaona Esta alivyowakomboa wayahudi, Tunao Yesu mwenyewe akivyokaa ndani ya tumbo la uzazi wa Mwanamke( Mariamu) kwa uweza roho Mtakatifu lakini tuhitimishe kwa kusema hivi MUNGU NDIYE MWENYE NGUVU ZOTE NA HUGAWA KWA WOTE SAWASAWA NA MAPENZI YAKE KWA AJILI YA UTUKUFU WAKE BILA UPENDELEO.
 
Umefanya vizuri kuwakumbusha...
 
Ndo maana yake..kama mwanamke amepewa nguvu kuliko mumewe ielewek tu hvyo...hakuna wa kubadilisha...
 
Mfano mzuri muangalie yule dada mwanasheria wa kule twiter mwana fatuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…