Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Super Woman hajawahi kuwepo toka kuumbwa kwa Ulimwengu na hatatokea kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Superwoman hukohuko ukirudi ndani kwangu wewe mkia mimi ndio kichwaVitabu vimemfanya mwanamke kuwa chini ya mwanaume, sasa kuna ulazima mwanamke nae apambanie haki yake, kuna wanawake wengi wenye akili na maarifa kuliko wanaume wengi, wanayo haki ya kuwa juu ya wanaume kama wamewazidi akili na maarifa
Vitabu vimemfanya mwanamke kuwa chini ya mwanaume, sasa kuna ulazima mwanamke nae apambanie haki yake, kuna wanawake wengi wenye akili na maarifa kuliko wanaume wengi, wanayo haki ya kuwa juu ya wanaume kama wamewazidi akili na maarifa
Kama umemzidi maarifa na akili hakuna tatizo, ila kama umezidiwa wewe kaa kimya mama aongoze nyumbaSuperwoman hukohuko ukirudi ndani kwangu we mkia mimi ndo kichwa
Wapo wanaojiweza sana hao ndio ninao wasema, achana nao wasiojitambuaHuyo mwanamke unamsema hapa anakua inferior kwa kijana wa kidato cha 3, akibishiwa utasikia kwakua mimi ni mwanamke ndio unanidharau
Vitabu vimemfanya mwanamke kuwa chini ya mwanaume, sasa kuna ulazima mwanamke nae apambanie haki yake, kuna wanawake wengi wenye akili na maarifa kuliko wanaume wengi, wanayo haki ya kuwa juu ya wanaume kama wamewazidi akili na maarifa
Kama umemzidi maarifa na akili hakuna tatizo, ila kama umezidiwa wewe kaa kimya mama aongoze nyumba
Mbona INDIA wanawake wanaoa wanaume, haya mambo yanawezekanaSema wewe...mwanaume hutimizi majukumu yako huelewi hata maana ya cheo chako ni kikubwa kias gan kwa nyumba..lazima upinduliwe tu ..na wanaume aina hiyo siku hizo nikama 70%
K VANT, mnyama ila mwenye maarifa na akili kuliko mwenzake huyo ndio mtawala, haijalishi jinsia yakeUnatumiaga aina gan ya kinywaji mkuu
Umepata basiK VANT, mnyama ila mwenye maarifa na akili kuliko mwenzake huyo ndio mtawala, haijalishi jinsia yake
tuiweke hivii......ndiyo Wanawake wana nguvu na Biblia imeonesha tunamuona Adamu alivyoshawishiwa na Hawa, Tunaona Delila alimvyomtuliza Samsoni, Tunaona Esta alivyowakomboa wayahudi, Tunao Yesu mwenyewe akivyokaa ndani ya tumbo la uzazi wa Mwanamke( Mariamu) kwa uweza roho Mtakatifu lakini tuhitimishe kwa kusema hivi MUNGU NDIYE MWENYE NGUVU ZOTE NA HUGAWA KWA WOTE SAWASAWA NA MAPENZI YAKE KWA AJILI YA UTUKUFU WAKE BILA UPENDELEO.Kuna hii kitu yetu inaitwa siku ya wanawake, kuna hii kitu inaitwa super woman na kuna hii kitu tumeanzisha inasema mwanamke ni kichwa cha familia.
Wanawake kuna sehemu tumetumbukizwa shimoni na wapigania haki za wanawake na bila kujijua tumejaa viburi na sasa tunajitokeza adharani kudai sisi kwa asilimia kubwa ndio tunalisha familia.
Wanawake wengi wenye mentality kwamba wanalisha familia ndoa zao zimeyumba na watoto wapo taabani kimalezi kwa sababu tu walezi wamepishana.
Dini zipo na zinaeleza vyema lipi jukumu la mwanamke ila kwa kasi tuliyonayo imetufanya twende kinyume kabisa na maandiko, tukipata nguvu kidogo tu ya uteuzi au kupata kamtaji kwetu tayari ni agenda yakuwaumiza wanaume. Wanaume wakituchoka wakaondoka hapo ndipo tunajua sisi kamwe hatuwezi kuwa kichwa cha familia.
Tukubali tukatae tunapaswa kuishi na wanaume kama vichwa vya familia na sisi ni mkia. Tukijitutumua na hadithi za super woman tutaishia kutumiwa na makundi ya wanaume huku tukiwa tunakwama kwenye malezi. Tuwaheshimu waume zetu regardless ya vyeo vyetu na madaraka au fedha zetu.
I'm not thinking of superwoman rather gifted woman.
Umefanya vizuri kuwakumbusha...Kuna hii kitu yetu inaitwa siku ya wanawake, kuna hii kitu inaitwa super woman na kuna hii kitu tumeanzisha inasema mwanamke ni kichwa cha familia.
Wanawake kuna sehemu tumetumbukizwa shimoni na wapigania haki za wanawake na bila kujijua tumejaa viburi na sasa tunajitokeza adharani kudai sisi kwa asilimia kubwa ndio tunalisha familia.
Wanawake wengi wenye mentality kwamba wanalisha familia ndoa zao zimeyumba na watoto wapo taabani kimalezi kwa sababu tu walezi wamepishana.
Dini zipo na zinaeleza vyema lipi jukumu la mwanamke ila kwa kasi tuliyonayo imetufanya twende kinyume kabisa na maandiko, tukipata nguvu kidogo tu ya uteuzi au kupata kamtaji kwetu tayari ni agenda yakuwaumiza wanaume. Wanaume wakituchoka wakaondoka hapo ndipo tunajua sisi kamwe hatuwezi kuwa kichwa cha familia.
Tukubali tukatae tunapaswa kuishi na wanaume kama vichwa vya familia na sisi ni mkia. Tukijitutumua na hadithi za super woman tutaishia kutumiwa na makundi ya wanaume huku tukiwa tunakwama kwenye malezi. Tuwaheshimu waume zetu regardless ya vyeo vyetu na madaraka au fedha zetu.
I'm not thinking of superwoman rather gifted woman.
tuiweke hivii......ndiyo Wanawake wana nguvu na Biblia imeonesha tunamuona Adamu alivyoshawishiwa na Hawa, Tunaona Delila alimvyomtuliza Samsoni, Tunaona Esta alivyowakomboa wayahudi, Tunao Yesu mwenyewe akivyokaa ndani ya tumbo la uzazi wa Mwanamke( Mariamu) kwa uweza roho Mtakatifu lakini tuhitimishe kwa kusema hivi MUNGU NDIYE MWENYE NGUVU ZOTE NA HUGAWA KWA WOTE SAWASAWA NA MAPENZI YAKE KWA AJILI YA UTUKUFU WAKE BILA UPRNDELEO.
Mfano mzuri muangalie yule dada mwanasheria wa kule twiter mwana fatumaMama wewe ni moja ya wanawake wenye akili sana.
Mwanamke yeyote anaelilia haki sawa hawezi kuishi hata na hawara. Ataishia kutumika tu sababu ya kiburi wanachopewa na Serikali na Wanaharakati haramu wa 50/50.
Ukiwa Mwanaume ukishabukia haki sawa nakuona punguani sana, tena uliebobea.
Halafu wewe mhehe weweMfano mzuri muangalie yule dada mwanasheria wa kule twiter mwana fatuma