Siku ya Wanawake Duniani; Nini kifanyike katika kulinda mahusiano?

Kila mtu atafute pesa zake , tuingie ktk mahusiano kwa lengo la kukutanishana vikojoleo tu na kukuza upendo nothing much,
Nakazia!

Maana wao wanataka kuhudumiwa Kwa pesa za wanaume.

Ukiwauliza wao wana muhudumia vipi mwanaume,wana sema wana wapa kikojoleo huyo mwanaume.

KILA JINSIA ITAFUTE PESA ZAKE BINAFSI.

MKIKUTANA IWE KUGUSANISHA VIKOJOLEO TU.MAANA KAMA NI UTAMU MNAPATA NYOTE.


Hapo ndo mtakuwa muna hudumiana.

Mbali na hapo,Kubadilishana vikojeo Kwa pesa ni UKAHABA.

Tofauti na hapo ni kunyonyana tu, Hakuna 50/50 mnayo itaka.
 
Maombi tu
Upako
Swala
Kama kuna mtu ananyemelea mahusiano yenu msomee dua
Tufunge na kusali
Afu mengine yatafata
Ila Sasa wanaume sisi hizi tamaa hizi dah
 
Wazo jema
 
Lets be ourself bila kujaribu kubadilishana...

Wewe ubaki kua wewe na mimi nibaki kua mimi, tutadumu kwa amani...

Baraka tele ziende kwa wanawake wote duniani...
Tatizo watu ni wabishi sana

Mbaya zaidi hawataki miongozo
 
Maombi tu
Upako
Swala
Kama kuna mtu ananyemelea mahusiano yenu msomee dua
Tufunge na kusali
Afu mengine yatafata
Ila Sasa wanaume sisi hizi tamaa hizi dah
Utelez hauwapiti
 
(hapa kwa wanawake kama hatujui,mwanaume ukimpa stress hata nguvu ya kusaka mavumba hupungua...ni jasiri kimwonekano ila moyoni ni dhaifu ivo kama unampenda usimpe stress mumeo).
I couldn't agree more..
πŸ€ πŸ€ πŸ’―πŸ’―πŸ’―
 
Utelezi?

Mimi nashauri watu wavae viatu vinavyoendana na utelezi.

Hata ikitokea wameteleza mara nyingi na sehemu tofauti tofauti hawatapata madhara

Nasema uongo ndugu yangu?
Zinachosha nazo zile
 
Reactions: Pep
Leo ni siku ya wanawake duniani,tuambieni tuwafanyie nn ili tulinde mahusiano yetu? Maana tukubali tukatae kupendana na kuheshimiana penzini ni raha sana.
Em nenda kachukue pepsi ya baridi kwanza.. dah!
Unanipa raha.

Basi kwani tunataka mengi.. πŸ˜‡πŸ˜…
 
Utelez hauwapiti
Kuna wengi tunaowakula kwa macho na wengi ambao tunang'ata nakupiliza

Kama mwanaume akiacha tamaa ya ngono

Na mwanamke akaacha tamaa ya pesa basi mahusiano mengi ya karne hii yatafika uzeeni
 
Kuna wengi tunaowakula kwa macho na wengi ambao tunang'ata nakupiliza

Kama mwanaume akiacha tamaa ya ngono

Na mwanamke akaacha tamaa ya pesa basi mahusiano mengi ya karne hii yatafika uzeeni
Labda Goliath afufuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…