Siku ya Wanawake Duniani; Nini kifanyike katika kulinda mahusiano?

Siku ya Wanawake Duniani; Nini kifanyike katika kulinda mahusiano?

Kubwa Sana halafu hapo hapo wanataka 50/50 wakati bado hawataki kuwa independent , wewe Umeshawahi kuona wapi anayelishwa akawa na kauli ya mwisho ktk huu ulimwengu!?
Tutajirekebisha aisee
 
Lets be ourself bila kujaribu kubadilishana...

Wewe ubaki kua wewe na mimi nibaki kua mimi, tutadumu kwa amani...

Baraka tele ziende kwa wanawake wote duniani...
Ndo njia sahihi kama adamu na hawa
 
Mkuu kuna baadhi ya wanawake huwa hawajielewi...yaani unakuta mko katikati ya tendo anaanza kukumbusha habari za mchango wa harusi, mara sjui pesa ya nguo uliyomuahidi utampa lini n.k

Yaani wanakata stimu kabisa , au umerudi tu kutoka ktk mihangaiko yako umechoka ghafla anaanza kukuelezea mashtaka ya mawifi zake, watoto n.k
Mtusamehe,kutuvumilia na kuturekebisha
 
Back
Top Bottom