Siku ya Wanawake Duniani; Nini kifanyike katika kulinda mahusiano?

Siku ya Wanawake Duniani; Nini kifanyike katika kulinda mahusiano?

Ni sahihi ukizingatia huu wakati ni usawa kwa wote by the way wanawake miaka hii Wana fursa nyingi kuliko wanaume lakini bado wanaona ni haki yao kihudumiwa wakisahau wajibu wao
Kwaiyo na ww unataka ufaidike na hup usawa?
 
Wanaume kama ilivyo Kwa wanawake, hatupendi stress za rejareja. Hatupendi makelele ( hapa namaanisha mjifunze kyfikisha malalamuko, mapendekekezo au kukosoa Kwa staha). Mwanaume anaeweza kutulia na mtu yeyote anaempa utulivu, hata kama Hana kingine Cha ziada, ili tu anaonyesha kumheshimu na kumkosoa Kwa staha.

Pia kutuelewa kwamba tunavurugwa na mambo mengi kama ilivyo kwenu pia. Inahitaji kumwelewa mtu wako wakati Gani umwambie jambo Gani akakusikiliza.

Ya mwisho, hauwezi kumchunga binadam. Onyesha kumwamini na yeye ajue unamwamini hata kama unaona viashiria na chembechembe za ugaidi ( kuchepuka). Tulizana ukikusanya ushahudi wako huku ukitumia diplomasia kuigiza uko sawa. Kutufuatilia sana na wasiwasi uliopitiliza hua inafanya mpoteze point kirahisi sana. Kuna wakati jambo halihusiani kabisa na mambo ya mahusiano mtu anataka akufuatilie Kila kitu na kuongea Kwa kujiamini huku akiwa Hana uhakika. Kwa ufupi wanaume hatupendi kelele.

Niwatakie maadhimisho mema Mama zetu, Dada zetu, Binti zetu, malkia wake zetu, na wanawake wote Kwa ujumla.
Mkuu kuna baadhi ya wanawake huwa hawajielewi...yaani unakuta mko katikati ya tendo anaanza kukumbusha habari za mchango wa harusi, mara sjui pesa ya nguo uliyomuahidi utampa lini n.k

Yaani wanakata stimu kabisa , au umerudi tu kutoka ktk mihangaiko yako umechoka ghafla anaanza kukuelezea mashtaka ya mawifi zake, watoto n.k
 
Maana kiukweli dunia hii imeshatawaliwa na pesa, yaan utu wa binadamu umezongwa na kitu pesa. Mwanaume hataki kuhudumia ila anataka kisafi chenye mwonekano bora na mwanamke anataka kuhudumiwa(pesa) ili awe safi na mwonekano bora ambao mwanaume anautaka.

Sasa kilichonileta ni kutaka kujua toka kwenu vijana na watu wazima tuwafanyie nn ili mjisikie aman kuwa mpo penzini na mnapendwa mtulie pia na muweze kutafuta pesa ndani izidi kuongezeka kutokana na amani ya nafsi mliyonayo.

(hapa kwa wanawake kama hatujui,mwanaume ukimpa stress hata nguvu ya kusaka mavumba hupungua...ni jasiri kimwonekano ila moyoni ni dhaifu ivo kama unampenda usimpe stress mumeo).

Je tuwasikilize kwa kila kitu mpaka tuonekane punguani? Je tuwaachie majukumu ya kulea then sisi tuwatafutie mkwanja...maana nyie mmetusahau tunalea wenyewe? Yaan kuna muda huwa nashangaa mwanaume anaposema nani kama mama wakati hapohapo mama wa watoto wake hamjali.

Mpaka nimeandika hivyo vyote ni kwa sababu nimeona kuna wanaume wanateswa sana kihisia na wanawake tena sana( kuna wanaume wananyanyaswa ila hawasemi tu kuogopa dharau za wanalimwengu na ndo maana huishia kuua,kujiua,kuchanganyikiwa na kuzorota kiuchumi.Inaogopesha sana wanadamu kuishiwa kiupendo kias hiki.

Leo ni siku ya wanawake duniani,tuambieni tuwafanyie nn ili tulinde mahusiano yetu? Maana tukubali tukatae kupendana na kuheshimiana penzini ni raha sana.

Nawasilisha
1. Niamshe nipe cha asubuhi bila ya kukuomba
2. Usilale na nguo na pia elekeza tako upande wangu/nipe mgongo wakati wa kulala.
3. Chunga sana kupigiwa simu za wanaume wengine hata kama ni wafanyakazi wenzako.
Hayo tu
 
Lets be ourself bila kujaribu kubadilishana...

Wewe ubaki kua wewe na mimi nibaki kua mimi, tutadumu kwa amani...

Baraka tele ziende kwa wanawake wote duniani...
 
Forward ever backward never

Hivi hivi tunavyoishi Sasa ndio vizuri [emoji1]
 
Ni kweli kwenye kusikiliza hapo nakili udhaifu tumepungukiwa ila kwenye kuwapa kila kitu tigo hatutoi maana kwenye kujifungua tunapodhalilika nyie mnakuwa hampo
Tigo Tena !? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] SMH [emoji32]
 
Siku mkiacha unafiki kama huu uliopost hapa maisha yatakua poa Sana

Uchafu mnaofanya nyuma ya pazia huko ni hatariiii Sana
We check hata reply zako utajua tuu huu ni unafiki

Yaan mnatufanyia unafiki wa hali ya juu Sana tunakuja shtuka tumeingia cha kike
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji119]
 
Kwanza kabisa swala la mwanamke kuwa na mindset kwamba mwanaume amuhudumie ili apendeze tayari tatizo
Kubwa Sana halafu hapo hapo wanataka 50/50 wakati bado hawataki kuwa independent , wewe Umeshawahi kuona wapi anayelishwa akawa na kauli ya mwisho ktk huu ulimwengu!?
 
Ni kweli kwenye kusikiliza hapo nakili udhaifu tumepungukiwa ila kwenye kuwapa kila kitu tigo hatutoi maana kwenye kujifungua tunapodhalilika nyie mnakuwa hampo
Hahahahahahahah
 
Yanayojiri
InShot_20220308_123642531.jpg
 
Back
Top Bottom