Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Kivipi mkuu?binti kiziwi
Evelyn Salt
Kalpana
Doctor Mama Amon
Bushmamy
Hao ndio Wanawake ambao ninawasherehekeaga humu..
Happy our day! 🥰🌸🌸Heri ya siku yetu, nawasherehekea wanawake wote wa JF, hasa wale wanawake wa shoka kama binti kiziwi , Dr. Mariposa , Lamomy , Seran na wengine wengi ambao hawaogopi kujichanganya kwenye nyuzi za kutubagaza na kuwa the voice of reason.
Sister Abigail Happy women's day kwako kipenzi!
Asante sana 🤗🤗
Thanks Enzo akeee 🤗 🤗
Thanks love, nyuzi za kulombana kila siku ni uongo 😂 😂.
Ila napenda sana kuwachangamasha humu wasisahau kwamba na sisi wanawake tunastahili pleasure na si lazima tujifiche fiche kwenye raha zetu. HWD win-one replies zako huwa zinanifurahisha sana!
Thanks mdogo wangu 🤗
Kivipi mkuu?
Brother Evelyn Salt, naye ndani 🤔.binti kiziwi
Evelyn Salt
Kalpana
Doctor Mama Amon
Bushmamy
Hao ndio Wanawake ambao ninawasherehekeaga humu..
Hahaha, dogo unajisikiaje raha , kwa uwepo wa hao?Uwepo wao unanifanya nijisikie Raha.
🤍🤍 Mtibeli wa watibeli.binti kiziwi
Evelyn Salt
Kalpana
Doctor Mama Amon
Bushmamy
Hao ndio Wanawake ambao ninawasherehekeaga humu..
Brother Evelyn Salt, naye ndani 🤔.
Bwashee aseme tu wanawake anao waogopa sisi bado hatujawa vilaza wote humu🤔Brother Evelyn Salt, naye ndani 🤔.
Hahaha, dogo unajisikiaje raha , kwa uwepo wa hao?
Bwashee aseme tu wanawake anao waogopa sisi bado hatujawa vilaza wote humu🤔
Joanah kaniambia Eve ni bro wake na ana ndevu kama Ayatollah Khamenei.😆😆 Ninyi Gen Z muacheni Shangazi Eve. Muwe na mipaka
🤍🤍 Mtibeli wa watibeli.
We appreciate this from you.
Wewe ni muoga ila unaulinda uoga wako ili usionekane unaogopa mtani🤣Ukiangalia mimi ni Mtu ninayefanania kuogopa?
Anashindwa kutofautisha heshima na uwoga.Bwashee aseme tu wanawake anao waogopa sisi bado hatujawa vilaza wote humu🤔
Joanah kaniambia Eve ni bro wake na ana ndevu kama Ayatollah Khamenei.
Mimi si Gen z mkuu 😂.Hao ni Mademu kama mademu wengine.
Laini kama nyama ya ini.
Ila kwa Gen z hamtaweza pigo zao. Lazima muwaite ma bro.
Haaaaa huyu familia hana shida na mtu.Naona madogo min -me washaanza kupandisha sukari hapa. Wivu kisa wanaona mtibeli kadondoka mbingu ya sita kwaajili yako
Wewe ni muoga ila unaulinda uoga wako ili usionekane unaogopa mtani🤣