2016 ukaona ni mbali?Nilikumbwa na upara tangu 2016 na mvi zilinishambulia tangu 2009. Kadiria umri wangu.
Bwashee wewe ni dogo sema umejitambua tu mapema π
Hapo maana yake nilichelewa sana kuwa na upara hadi wanakijiji walishangaa sana.2016 ukaona ni mbali?
π€£wala usijali ,mbona mimi ni kiongozi wa maombi kanisani kwetuπUwiiiiii, holly-the entire blood of Jesus!!!! Fire fire!
Ohh nilisahau wewe ni atheist π©
Nilikumbwa na upara tangu 2016 na mvi zilinishambulia tangu 2009. Kadiria umri wangu.
Mr Bob wewe dogo sema ni dogo wa rika la kati tuπ€£ sio dogo kivileTee teeh! Kama mnaweza kutengeneza video za Marais mkawadhalilisha. Mimi ni nani? Gen z ni nyoko aiseeh
Hapo maana yake nilichelewa sana kuwa na upara hadi wanakijiji walishangaa sana.
Sasa sijui nitumia hoja gani ili uamini kuwa Mimi ni Mzee, au nikulaani tu ili laana ikikupata usadiki ninayosema.Mbona mimi upara niko nao tangu nikiwa sekondari?
Ni ugonjwa na ukosefu wa madini Fulani hivi. Wataalam watatuambia.
Ila kusema upara wako unatokana na uzee nitaweka pingamizi.
Nyie mkionyeshwa mimi mtahisi mnaongea na babu yenuπHapo maana yake nilichelewa sana kuwa na upara hadi wanakijiji walishangaa sana.
Ndiyo maana yake.Walishangaa chuma kinazeeka hakioti upara wala hakina mvi beπ
Mr Bob wewe dogo sema ni dogo wa rika la kati tuπ€£ sio dogo kivile
Ndiyo maana yake.
Hahaha π. Ila mtibeli ni kitukuu chako kabisa.Nyie mkionyeshwa mimi mtahisi mnaongea na babu yenuπ
Hao siwajui mkuu,ila mimi 90 mpka 99 nyie kwangu ni madogo labda nnje na hapoπMadogo wapo humu kama dogo
@chiefgodlove @Dr william wa Marekani, hao madogo mambo Yao yanachekesha Sana.
Hasa William ukiambiwa umri wake utabaki mdomo wazi
Thanks kipenzi π€Asante sana sis...happy women's day to you too!
Thanks my son π₯°π€ leo pumzisha mishangazi uje home.
Naona ushanikumbuka sana kijana π πBinti wa zamani na heka heka zake, kama kasongo π
fanya muujiza sasa, nisikie kishindo cha wakoma πNaona ushanikumbuka sana kijana π π
ππππTeAmo