Siku yake ya kuzaliwa (Birthday πŸŽ‰) Pia ni tarehe na Mwezi ambao Baba yangu mzazi alifariki! Nafanyaje?

Vijana msikurupuke kupa, mke anakushindaje nguvu kiasi cha kushindwa kufanya unacho taka wewe
 
Wanaume wanapungua kwa kasi kubwa sana
 
Kilicho bora zaidi unakijua nafsin mwako bila sisi kuthibitisha. Ibada!
Hali kama hizi nimewai kumpoteza msichana nimpendaye kwa dhati kisa jina lake kufanana na la mama mzazi. Mwanzon sikujua italeta shida wakati wa tendo. Nikalazmika kumkimbia hiv hiv!
 
Wewe ni Matope ?
Badili id uyaone mambo katika mwanga mkuu
 
Be a man bro.. vitu sensitive kama hivi una ruhusu mkeo aku pande kichwani .
 
Sasa ulihisi unalala na mama?
Nafikiri ungempenda mara 2 mke na kama mama
 
Fanya mkeo ajisikie furaha siku yake ya kuzaliwa.. Mtu kafa kafa haibadilishi hata kitu chochocte.. Mbona siku ya kifo cha Yesu tunagonga pilau na kujirusha
 
Una ibada ya wafu?
Hivyo mkeo hatafurahia siku yake daima?
 
Fanya mkeo ajisikie furaha siku yake ya kuzaliwa.. Mtu kafa kafa haibadilishi hata kitu chochocte.. Mbona siku ya kifo cha Yesu tunagonga pilau na kujirusha
Hii ndio mantiki, huwezi kumnunia mkeo asifurahie birthday yake eti kisa mtu ambae alishakufa. Huo ni ubinafsi wa hali ya juu.

Kumkumbuka marehemu na kuanza kujiliza liza itamsaidia nini? Sisi binadamu tunaendekeza mambo yasiyokuwa na mantiki. Unaweza kumkumbuka marehemu lakini angalia kipaumbele ni kipi.

Je ni huyo unaeishi nae kwasasa au ni yule ambae alishakutoka na hutamwona tena?
 
Vipi hii?
 
Kuna vitu sio lazima kuzingatia ni miner
 
Kuna watu wanaendekeza ibada ya wafu sana
 
Inafahamika kwenye ndoa mwenye maamuzi ya mwisho ni mwanaume.....
Anyway
hata sijui nilitaka kusema nini
 
Je imani yako inaruhusu kuombea wafu?? Kama ndio basi hata ukisherekea birthday ya mkeo haina zhida shida kama huwa unamuombea.


Kama imani yako haikuruhusu kuombea wafu, bday ya mkeo wala si kikwazo labda kama una ukata.
Bado sijaona sababu kuntu ya kutosherekea nae hiyo bday ukihusianisha na msiba wa mzee wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…