Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye anataka siku nzima wawe wanalia na kuomboleza kumbukumbu ya kifo cha BabaKumbukumbu mnafanya asubuhi...
Jioni ikifika Saa moja mnafanya birthday...
Vitu vingine vyepesi Sana mna complicate bila sababu
Kumbukumbu mnafanya asubuhi...
Jioni ikifika Saa moja mnafanya birthday...
Vitu vingine vyepesi Sana mna complicate bila sababu
Vijana msikurupuke kupa, mke anakushindaje nguvu kiasi cha kushindwa kufanya unacho taka weweWakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!
Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday [emoji849]
Napokea ushauri na mawazo yenu!
Sasa ulihisi unalala na mama?Kilicho bora zaidi unakijua nafsin mwako bila sisi kuthibitisha. Ibada!
Hali kama hizi nimewai kumpoteza msichana nimpendaye kwa dhati kisa jina lake kufanana na la mama mzazi. Mwanzon sikujua italeta shida wakati wa tendo. Nikalazmika kumkimbia hiv hiv!
Fanya mkeo ajisikie furaha siku yake ya kuzaliwa.. Mtu kafa kafa haibadilishi hata kitu chochocte.. Mbona siku ya kifo cha Yesu tunagonga pilau na kujirushaWakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!
Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday 🙄
Napokea ushauri na mawazo yenu!
Una ibada ya wafu?Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!
Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday 🙄
Napokea ushauri na mawazo yenu!
Hii ndio mantiki, huwezi kumnunia mkeo asifurahie birthday yake eti kisa mtu ambae alishakufa. Huo ni ubinafsi wa hali ya juu.Fanya mkeo ajisikie furaha siku yake ya kuzaliwa.. Mtu kafa kafa haibadilishi hata kitu chochocte.. Mbona siku ya kifo cha Yesu tunagonga pilau na kujirusha
Vipi hii?Kilicho bora zaidi unakijua nafsin mwako bila sisi kuthibitisha. Ibada!
Hali kama hizi nimewai kumpoteza msichana nimpendaye kwa dhati kisa jina lake kufanana na la mama mzazi. Mwanzon sikujua italeta shida wakati wa tendo. Nikalazmika kumkimbia hiv hiv!
Kuna watu wanaendekeza ibada ya wafu sanaHii ndio mantiki, huwezi kumnunia mkeo asifurahie birthday yake eti kisa mtu ambae alishakufa. Huo ni ubinafsi wa hali ya juu.
Kumkumbuka marehemu na kuanza kujiliza liza itamsaidia nini? Sisi binadamu tunaendekeza mambo yasiyokuwa na mantiki. Unaweza kumkumbuka marehemu lakini angalia kipaumbele ni kipi.
Je ni huyo unaeishi nae kwasasa au ni yule ambae alishakutoka na hutamwona tena?
Anahisi akifurahia jioni basi baba yake atahuzunika huko aliko.Kumbukumbu mnafanya asubuhi...
Jioni ikifika Saa moja mnafanya birthday...
Vitu vingine vyepesi Sana mna complicate bila sababu