Siku yake ya kuzaliwa (Birthday 🎉) Pia ni tarehe na Mwezi ambao Baba yangu mzazi alifariki! Nafanyaje?

Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
892
Reaction score
683
Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!

Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday 🙄

Napokea ushauri na mawazo yenu!
 
Du Dunia ya sasahivi imekosa huruma kabisa na watu wa sasa hivi wamekuwa wabinafsi Sana.Mtu anajali Sana birthday kuliko kumfariji mwenza wake.

Ni ajabu.Tembea uone mengi.

Sasa hivi naanza kuelewa kwanini yule DJ wa Kenya aliamua kuchukua uamuzi mgumu wa kumrekodi mtu anayetaka kujiua BIla kujali.
 
Umenena kama kinena
 
Ulishawahi kujiuliza hivi hichi kitu ni kwanini kilitokea tarehe zikawa zote sawa??

Au wewe wadhani kilitokea kama kilivyotokea? Bila sababu
 
Mwanaume si unafanya tu maamuzi hapo, mama cancel birthday day yako kwa kuwa imeingiliana na kumbukumbu ya kifo cha baba, then birthday yako utasherehekea siku nyingine. Haina haja ya kuja kufungua uzi humu.
Duuh
 
Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!

Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika kipindi cha uhai wake inakuwa shida kwa mke wangu yeye anasema anataka kufurahia birthday 🙄

Napokea ushauri na mawazo yenu!
Kama Baba alishakufa basi na kama kuhuzunika ulisha huzunika vya kutosha ..kilichobaki ni wewe kusherekea birthday ya mkeo huku ukisherekea maisha ya baba yako…furahia kuwa aliishi na uli enjoy kuwa naye….siyo kila muda unalazimisha kulia lia na kutia huruma….enjoy maisha ya mkeo na maisha ya baba yako……

Acha mambo ya kufikirika ..nani kakwambia kuwa ikifika tarehe hiyo lazima uhuzunike? Kwani uwezi fanya ibada ya furaha kumkumbuka baba yako alivyogusa maisha yako na ya wengine?

Punguza utoto bhana
 
Ina maana hiyo siku inakuwa kama msiba kwako? Ni kumbukumbu tu. Miaka 10 imeshapita unachotakiwa ni kusherehekea maisha ya mzee wako hapa duniani na sio kusikitika kiasi hicho.

Anyway..tupo tofauti.

kama mnataka kufanya sherehe ya birthday sogezeni next weekend.
 
Ushauri Mzuri sana!

Back
Top Bottom