GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Rais Samia anaenda katika Tamasha la Timu ambayo imefanya yafuatayo....
1. Imeitangaza nchi hasa Mlima Kilimanjaro
2. Imefanikiwa Kimataifa hasa CAFCL na siyo kwa Watoto na Wasiojua kule CAFCC
3. Inashiriki Michuano mikubwa na mipya Barani Afrika ya Africa Super Cup
4. Imeweka Kambi yake ya Pre Season Ulaya ya Mashariki ( Uturuki ) na siyo Baharini Uswahilini kwenye harufu ya Samaki
5. Ina 100% ya Mashabiki Wasomi na Werevu na siyo yenye Vibaka wengi wa Kariakoo na Ilala
6. Yenye Wachezaji Mahiri iliyowanunua kwa Fedha zake na si wa Mkopo na Huruma
7. Imeuza Tiketi zake ( Sold Out ) Siku Mbili kabla hata ya Tamasha wakati wengine walilazimika Kugawa bure Tiketi zao na bado Uwanja haukujaa.
Rais Samia na Simba SC nj dam dam.