Siku yako Uwanja haukujaa na ukaingiza Watu 'Fungulia Mbwa' halafu utegemee Rais Samia apoteze muda wake Kuja?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Rais Samia anaenda katika Tamasha la Timu ambayo imefanya yafuatayo....

1. Imeitangaza nchi hasa Mlima Kilimanjaro

2. Imefanikiwa Kimataifa hasa CAFCL na siyo kwa Watoto na Wasiojua kule CAFCC

3. Inashiriki Michuano mikubwa na mipya Barani Afrika ya Africa Super Cup

4. Imeweka Kambi yake ya Pre Season Ulaya ya Mashariki ( Uturuki ) na siyo Baharini Uswahilini kwenye harufu ya Samaki

5. Ina 100% ya Mashabiki Wasomi na Werevu na siyo yenye Vibaka wengi wa Kariakoo na Ilala

6. Yenye Wachezaji Mahiri iliyowanunua kwa Fedha zake na si wa Mkopo na Huruma

7. Imeuza Tiketi zake ( Sold Out ) Siku Mbili kabla hata ya Tamasha wakati wengine walilazimika Kugawa bure Tiketi zao na bado Uwanja haukujaa.

Rais Samia na Simba SC nj dam dam.
 
Sahih braza popoma
 
Mbumbumbu.
 

Attachments

  • Screenshot_20230605-192423.jpg
    23.4 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1688656299815.jpg
    66.8 KB · Views: 1
We jamaa nimeanza kuamini una mental case
 
Bora tu Rais awe mgeni rasmi mtulize roho zenu maana mlikuwa mnateseka sana.
 
Yanga kiingilio 10,000.
Simba kiingilio 5,000.
Maana yake kama yanga iliingiza watu 20,000 na kupata 200,000,000.
Simba itahitaji kuingiza watu 40,000 kuwa na mapato sawa na yanga .
 
Rais ni mwanasiasa anahitaji paliponona
 
Watu walienda hata Ikulu ya Malawi aisee
 

Mtoa mavi nipo nyuma yako.


Correction: Sorry mkuu, sio mtoa mavi nilitaka kusema mtoa mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…