Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Hii mada nilishawahi kuitolea ufafanuzi wa kina ila kuna watu kwa kuwa ukweli hauendani na wanachotaka watu waamini basi wanaendelea kupindisha. Yanga alishiriki hiyo CAF Cup mara mbili na mara zote alitolewa hatua ya kwanza, hilo hakuna anayesema.
Nadhani kitengo cha habari cha TFF kitoke usingizini kiwe kinatoa ufafanuzi kwenye mijadala hii ili kuepusha upotoshaji. Hizi taasisi za umma zinalala sana.
Sawa kabisa walioshika nafasi ya pili walishiriki CAF cup, je waliobeba ubingwa wa ligi kuu walikiwa wanashiriki michuano ipi ya CAF? Na je waliobeba ubingwa wa kombe la shirikisho na wao walikuwa walishiriki michuano ipi ya CAF?
Yaani hizi mada zinaibukaga mara kwa mara, wanatakiwa wawe active kama sehemu ya wadau, wao wanadhani haiwahusu. Inashangaza sana.Wenyewe wanaogopa kuingilia ugomvi. Hawajui umuhimu wa kuisaidia jamii kuelewa taarifa sahihi.
Mpaka watajwe wao ndo wanaibuka.
CC: TFFHii mada nilishawahi kuitolea ufafanuzi wa kina ila kuna watu kwa kuwa ukweli hauendani na wanachotaka watu waamini basi wanaendelea kupindisha. Yanga alishiriki hiyo CAF Cup mara mbili na mara zote alitolewa hatua ya kwanza, hilo hakuna anayesema.
Nadhani kitengo cha habari cha TFF kitoke usingizini kiwe kinatoa ufafanuzi kwenye mijadala hii ili kuepusha upotoshaji. Hizi taasisi za umma zinalala sana.
Wewe ni nani pale CAF unaota ufafanizi?Hii mada nilishawahi kuitolea ufafanuzi wa kina ila kuna watu kwa kuwa ukweli hauendani na wanachotaka watu waamini basi wanaendelea kupindisha. Yanga alishiriki hiyo CAF Cup mara mbili na mara zote alitolewa hatua ya kwanza, hilo hakuna anayesema.
Nadhani kitengo cha habari cha TFF kitoke usingizini kiwe kinatoa ufafanuzi kwenye mijadala hii ili kuepusha upotoshaji. Hizi taasisi za umma zinalala sana.
Nyie ndio wale watoto mlisoma chekechea miaka 5Ukishajua kuwa Yanga ilikuwa ni timu iliyochelewa kuvaa viatu wakati wa mchezo huwezi kubabaika kujua nani alianza kupata mafanikio makubwa.
Unacheza peku halafu ufike nusu?
Mpira mbona utakuwa ni kitu cha kipuuzi sana.
Na Manara anaongea hivyo akijua Yanga wajinga wengi hivyo lazima atawachota tu.
Nadhani shida iko kwenye uhusiano kati ya CAF cup na confederations cup.Ama hakika maendeleo ya teknolojia yametufanya tutoke zama hizo,najisikia vibaya mtu mzima aliyeaminiwa na taasisi kubwa akipotosha taarifa
Performance in CAF competitions
The highest success that Simba achieved was reaching the final of the CAF Cup in 1993, where they lost to Stella Club of Côte d'Ivoire. It was the highest continental achievement by a Tanzanian team to date. In 2003 Simba beat the then-reigning champions Zamalek of Egypt in the CAF Champions League second round of qualifiers to qualify to the group stages, after having beat Santos of South Africa in the first round.
CAF Champions League: 11 appearances
2002 – First Round
2003 – Group stage (Top 8)
2004 – Preliminary Round
2005 – First Round
2008 – First Round
2011 – Special play-off for Group stage
2013 – Preliminary Round
2018–19 – Quarter-finals
2019–20 – Preliminary Round
2020–21 – Quarter-finals
2021–22 – Second Round
African Cup of Champions Clubs: 9 appearances
1974 – Semi-finals
1976 – Second Round
1977 – Second Round
1978 – Second Round
1979 – Second Round
1980 – Second Round
1981 – First Round
1994 – Quarter-Finals
1995 – Second Round
CAF Confederation Cup: 6 appearances
2007 – Preliminary Round
2010 – Second Round
2011 – Play-off
2012 – Second Round
2018 – First Round
2021–22 – Quarter-finals
CAF Cup: 2 appearances
1993 – Finalist
1997 – First Round
CAF Cup Winners' Cup: 3 appearances
1985 – Second Round
1996 – Second Round
2001 – Second Round
Yuko sahih knbsa Ni dhaihiri Simba hajawi fika nusu fainali kombe la shirikisho la muundo huu uliopo HV SAS Hilo kataa mkubali mtarndelee kuishia robo kwa miaka 10 zingine zijazoAlianza hivi,mzee wa polimilai
"Mnajipa hadhi ya kwamba eti mlicheza fainali leo? Hii hii ya Masudi? Leo Mwigulu au Mavunde Cup muiweke katika records sio?
Nyie mwisho wenu Robo za kupapatuana na Nginja Nginja za Mazaga zaga tu.
Nusu fainali inawahusu nini nyie Madunduka? Hii sio Tusker Cup wala Mtani Jembe au Hedex Cup, Hamjawahi toka muumbwe kufika nusu fainali katika muundo huu.
Kawaongopeeni Wageni wa football, waliokuja na Mafuso ya Ndizi sio sisi.Bata Wahed".....hajismanara
Nimeusoma uzi na ndio nikauliza swali likiwa linamana yake.Umeusoma uzi huu au umeanza kuchangia tu.
Mnr Yuko sahih kbsa Simba sc haijawai fika nusu fainali kwa muundo huu wa hv SAS , periodNAOMBA NIKUKUMBUSHE KITU MY BROTHER HAJI MANARA KUHUSU SIMBA 1993.
Jana nilipata wasaa wa kuitazama clip yako kuhusu fainali ya Simba 1993 dhidi ya Stellah Abdijan.
Umesema nchi za Kiarabu hazikushiriki? Simba alicheza robo na USM El Harrach ya Algeria (Taifa la Kiarabu)
Okay naenda kwa hatua na utasahihisha pale palipokosewa na utaweka vema nilipopatia! 1993 mwaka tajwa hapo CAF alikuwa na michuano mitatu ya klabu ambayo yote ilikuwa chini yake na maelekezo yote yalitoka Mitaa ya 6th of October, Cairo yalipo makao makuu ya CAF.
Mwaka tajwa kulikuwa na michuano ifuatayo! African Cup of Champions Clubs, kulikuwa na CAF Cup na African Cup Winners’ Cup! Michuano yote mitatu ni ya CAF, ambao Champions Clubs ni timu bingwa kila nchi wanachama, ubingwa alibeba Zamalek ikiwa ni taji lake la tatu na linahesabiwa, timu shiriki zilikuwa 45 na zilipigwa mechi 73 karibia.
1993 Winners’ Cup hii ilikuwa michuano ya timu zilizobeba mataji ya FA kwenye nchi husika tu! zilipigwa mechi 72 ambapo bingwa alikuwa ni Al Ahly ya Misri walikipiga na African Sports ya Cameroon bila shaka, ni michuano ambayo ilikuwa chini ya CAF.
Halafu kuna CAF CUP unaweza kuliita Kombe la Shirikisho kwa Kiswahili! CAF ni shirikisho na kombe ndio lao, mechi zilipigwa 64 hapa!Ndio maana ya CAF CUP ya 1993! Hapa fainali alicheza Mfalme wa Nyika SIMBA YA DAR ES SALAAM dhidi ya Stella Adjame ya Ivory Coast, hii ilikuwa inahusisha Washindi wa pili kwa kila ligi kwenye nchi husika pasi na shaka.
Haji unasema Simba hakucheza fainali ya kombe la Shirikisho sasa nini maana ya CAF CUP kwa Kiswahili? Ama tuseme TFF CUP ama Azam Sports Federation Cup si ndio Kombe hili la Shirikisho ambalo Yanga ni bingwa Mtetezi?
Nimeona hoja ya kutajwa kwa Tajiri mkubwa wa Nigeria wakati huo MOSHOOD OLAWALE ABIOLA kuwa ndie aliyeweka mzigo kwa ajili ya michuano hii, je kuna tatizo gani kwa Mdhamini kupatikana na wengine humpa naming rights za michuano? Hii ni kawaida sana in business
Tumesahau kuwa kuna Azam SPORTS FEDERATION CUP (Tajiri Said Salim Bakhresa) tuliwahi kuwa na BARCLAYS PREMIER LEAGUE, CARLING CUP, MTN CUP, NBC PREMIER LEAGUE, zote hizo ni walioweka mzigo wanaweka na majina yao!
I stand to be corrected.View attachment 2599233
Performance in CAF competitions
The highest success that Simba achieved was reaching the final of the CAF Cup in 1993, where they lost to Stella Club of Côte d'Ivoire. It was the highest continental achievement by a Tanzanian team to date. In 2003 Simba beat the then-reigning champions Zamalek of Egypt in the CAF Champions League second round of qualifiers to qualify to the group stages, after having beat Santos of South Africa in the first round.
CAF Champions League: 11 appearances
2002 – First Round
2003 – Group stage (Top 8)
2004 – Preliminary Round
2005 – First Round
2008 – First Round
2011 – Special play-off for Group stage
2013 – Preliminary Round
2018–19 – Quarter-finals
2019–20 – Preliminary Round
2020–21 – Quarter-finals
2021–22 – Second Round
African Cup of Champions Clubs: 9 appearances
1974 – Semi-finals
1976 – Second Round
1977 – Second Round
1978 – Second Round
1979 – Second Round
1980 – Second Round
1981 – First Round
1994 – Quarter-Finals
1995 – Second Round
CAF Confederation Cup: 6 appearances
2007 – Preliminary Round
2010 – Second Round
2011 – Play-off
2012 – Second Round
2018 – First Round
2021–22 – Quarter-finals
CAF Cup: 2 appearances
1993 – Finalist
1997 – First Round
CAF Cup Winners' Cup: 3 appearances
1985 – Second Round
1996 – Second Round
2001 – Second Round
Source: wikipedia
Halafu tukafeli form fourNyie ndio wale watoto mlisoma chekechea miaka 5
Kama ni ishu za muundo mbona nyinyi mkikurupushwa saa hizi hapa mtaje makombe mliyobeba mnataja mpaka yale ya kabla ya uhuru ambayo mlikuwa mnacheza gongowazi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnr Yuko sahih kbsa Simba sc haijawai fika nusu fainali kwa muundo huu wa hv SAS , period
Manara ajengewe sanamu.....Nimeusoma uzi na ndio nikauliza swali likiwa linamana yake.
Katika mfumo wa CAF interclub kulikuwa na mashindano matatu.
1) hilo la African Cup of Champions Clubs, ndio sawa sawa na klabu bingwa.
Ila utata upo hapa; kati ya CAF cup naAfrican Cup Winners’ Cup ni michuano ipi ilikuwa ni sawasawa na shirikisho kwasasa.?
Kombe la shirikisho barani Africa ni michuano ambayo inachukua mabingwa wa kombe la shirikisho katika nchi zao (FA cup) Wanachama wa CAF wanakuwa na mashindano mawili la kwanza ni ligi kuu na la pili ni kombe la FA ambapo kwasasa ni sawsawa na Azam Federation cup.
Tukija kwenye kabla ya kuanzishwa kwa CAF confederation cup, kulikuwa na michuano ya African Cup Winners’ Cup ambayo ndio mashindano ambayo yalikuwa yanahusisha wahindi wa kombe la shirikisho za nchi zao (FA cup) ambapo ndio mfumo sawasawa na ulivyosasa katika Caf confederation cup.
Ikitoea timu iliyobeba ubingwa wa FA ndio huyo huyo bingwa katika ligi kuu ndio inafuata criteria zingine za kupata muwakilishi wa kuwakilisha kwenye kombe la shirikisho.
Lakini kombe la CAF cup haikuwa na mfumo sawasawa na kombe la Confederation cup, bali walikuwa wanachukua timu ambazo zimekosa nafasi ya kuwakilisha nchi yao katika CAF interclub championship.
African Cup Winners’ Cup ndio ilikuwa ni sawasawa na kombe la shirikisho kwa hivi sasa
Sidhani kama form 2 ulitoboa,Halafu tukafeli form four
Kwa mbindee sana almanusra nikwameSidhani kama form 2 ulitoboa,
Nimeusoma uzi na ndio nikauliza swali likiwa linamana yake.