Siku zinavyozidi kuyoyoma ndio kauli ya Manara inapoonesha uhalisia, dogo Farhanjr amchana chana vibaya

Ukiona hata taarifa inapatikana kwa kuungaunga hivyo ujue hakuna kitu hapo.
 
N uzuri ununio anayokaa yeye ni maeneo ya kondo Yani uswahilini mwanzo mwisho

Hapo ndipo nilipohitimisha kuwa huyu mzee ana matatizo ya akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nasikia kahamishiwa ununio kutoka kule masaki alipopangishiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo ndipo nilipohitimisha kuwa huyu mzee ana matatizo ya akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nasikia kahamishiwa ununio kutoka kule masaki alipopangishiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chombo ya mzee Tozi wa bandari hiyo
 
Hii taka taka inataka ionekane kama ndiyo Yanga kuliko Yanga yenyewe baada ya wenye Yanga yao kumgutukia kuwa hapo yupo kiajira tu lakini moyoni bado yuko Simba.
 
CAF Cup ndio shindano ambalo lilikuwa na hadhi ya Shirikisho, na hili lilikuwa linashirikisha timu zile ambazo zilishindwa ku qualify vigezo vya kushiriki African Cup of Champions Club ambayo ndio Club Bingwa ya sasa.
Sababu ya kusema hivyo ni ipi?
Toa sababu, mimi nimetoa ufafanuzi kwanini African Cup Winners’ Cup ndio ilikuwa na hadhi ya shirikisho. Shirikisho ni kwa vilabu vilivyoshinda kombe la shirikisho la nchini mwao na ndio sawa sawa na ilivyo sasa. African Cup Winners’ Cup ndio mashindano yaliyokutanisha mabingwa wa mashirikisho kwa kipindi hicho.
 
Mbona nimeandika hapo sababu ya timu kushiriki hayo mashindano ni pamoja na kukosa vigezo vya kushiriki African Champions Club?
 
Kama ni ishu za muundo mbona nyinyi mkikurupushwa saa hizi hapa mtaje makombe mliyobeba mnataja mpaka yale ya kabla ya uhuru ambayo mlikuwa mnacheza gongowazi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tukiwaambia hamna akili mnanuna.
Kwa hiyo sasa wanaongelea muundo? Viumbe wa ajabu sana hawa....
 
Manara hata kupiga dana dana hajui, achilia mbali uchambuzi wa soka.
 
Mbona nimeandika hapo sababu ya timu kushiriki hayo mashindano ni pamoja na kukosa vigezo vya kushiriki African Champions Club?
Kwahiyo wanaoshiriki African cup winner's cup huwa wana vigezo vya kushiriko African champions club? Mbona umeweka sababu isiyo na mashiko.
 
Kwahiyo wanaoshiriki African cup winner's cup huwa wana vigezo vya kushiriko African champions club? Mbona umeweka sababu isiyo na mashiko.
Ni kwasababu umeongeza maneno ambayo mimi sijayaandika.

Hakuna sehemu nimeandika African cup winners
 
Kwahiyo kwa sasa hivi anayeshika nafasi ya pili ktk ligi anashiriki shindano gani????
 
Yaani wanashangaza sana dah.....ni kuwahurumia tu
 
Source: Wikipedia

Wikipedia hii hii inayoweza kueditiwa na mtu yoyote au siku hizi ni UNEDITABLE?
 
Kwahiyo kwa sasa hivi anayeshika nafasi ya pili ktk ligi anashiriki shindano gani????
Anayeshika nafasi ya pili anaweza akashiriki michuano ya CAF au asishiriki kabisa
Atashiri michuano endapo
1) association yao kama ina point ya kufanya waingize timu nne kwenye michuano ya CAF basi atashiriki klabu bingwa Africa.
2) kama association yao haina point za kuingiza timu nne bali ni timu mbili tu, lakini bingwa wa ligi kuu ndio huyo huyo kabeba kombe lao la FA, basi mshindi wa pili kwenye ligi kuu atashiriki kombe la CAF confederation cup lakini hili inategemea na kanuni za association hisika maana kuna association zingine huwa wanachukua runner up wa FA ndiye atayewakilisha michuano ya CAF confederation cup endapo bingwa wa ligi kuu kabeba na ubingwa wa FA cup.

Hatoshiriki endapo association inaingiza timu mbili tu, halafu bingwa wa FA cup ni tofaut na aliyebeba ubingwa wa ligi kuu. Na hiyo timu iliyoshika nafasi ya pili ameshindwa kubeba kombe la FA.
 
Nilijua tu yanga akitinga nusu lazima vyura waongee yote.
Uzur hata Simba ana nafas ya kutinga nusu fainal club bingwa.

Kuzima hizi kelele wanaume wa Simba kakazeni Tako huko uarabun .
Tukiwatoa wydad hawa vyura hawatakua na chakusema hata km watatinga nusu fainal.
Coz ukwel wanaujua mlima wa club bingwa na shirikisho ni vitu viwil tofaut.
Kama na wao wanajiona wanaweza basi wafike robo club bingwa km ilivyo Kwa Simba alafu ndio waje watambe hapa.
Vipi yanga ingekua club bingwa na ikashinda away si wangekunya mji mzima.
Kipimo Cha yanga ya Sasa sio shirikisho Bali ni club bingwa huko ndio Kuna wanaume wa shoka ,ukitoboa huko unaona kabisa umeoiga kazi .
Fikiria umezungukwa na wydad ,mamelod ,ahly ,esperance, hicho ndio kipimo ila sio hao river ,sijui marumo,na takataka zingine .
 
Yanga akibeba kombe je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…