Siku zinavyozidi kwenda nazidi kuutilia Shaka uwepo wa Mungu

Huu nao ni Ugonjwa akili piga picha na Jini tuamini Allah yupo
 
kwanin usimlaumu baba ako na mama yako,au kwanini usiilaumu serikali au kwanini usijilaumu mwenyewe kwa uzembe?

mungu is invisble but money are tangible,mungu yupo katika hali ya hisia mfano furaha,upendo,dhiki,shida,chuki ila katika vitendo kuna maamuzi,umepiga mtu kachukia amekurudishia umepata hasira hapa unaweza kumuona mungu hasa ukikumbuka kauli ya kitabu chako,binafsi al qiswaswi haqq ujue kinachofata ni mtifuano,ila wenzetu anakugeuzia upande wa kushoto.

ukiwa na dhiki unaomba faraja kwake ila ndani ya dua zako ziendane na matendo ya unachokiomba.
 
Huu nao ni Ugonjwa akili piga picha na Jini tuamini Allah yupo
Allah anasema katika suurat al aadiyyaat

إِنَّ الْإِنسَانَ لِرَبِّهِ لَكَنُودٌ ﴿٦﴾

6. Hakika binaadam kwa Rabb wake bila shaka ni mtovu mno wa shukurani.

وَإِنَّهُ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٌ ﴿٧﴾

7. Na hakika yeye juu ya hayo bila shaka mwenyewe ni shahidi.


وَإِنَّهُ لِحُبِّ الْخَيْرِ لَشَدِيدٌ ﴿٨﴾

8. Na hakika yeye ni mwingi mno wa kupenda mali.


أَفَلَا يَعْلَمُ إِذَا بُعْثِرَ مَا فِي الْقُبُورِ ﴿٩﴾

9. Je, hajui vitakapopinduliwa juu chini na kutolewa vile vilivyomo makaburini?

Ndugu yangu lililokawa wajibu juu yangu ni kukufikishia, swala La kuongoka au kubaki kweny upotofu wako ni lake yeye allah kama alivyosem katik qur ana kumwambia mtume wetu wote mimi na wewe kuwa ni juu yake kufikisha na malipo ni juu yake yeye allah pia yeye allah ndie ana muongoza amtakae nakuombea kwa allah atuongoze kuifata njia ya haqi mimi na wewe wote tuseme (aamiyn)
 
Hakuna Mungu, Allah, Yesu, Jehovah, Jah, God anayetoa Afya wala uzima.
 
Na cku akili yako itakapofikia hakuna mungu,sasa hapo ndipo Mungu anapodhihirika uwepo wake
 
Wafia dini hawatakuelewa
 
Robo tatu ya dunia inaongozwa na shetani, hata hiyo robo iliyobaki itatekwa karibuni. Mungu yupo wapi?
 
mwisho wa akili yako ndio Mungu anaanza kufanya kazi, nilitegemea kuwa unajua chanzo cha bahati yako ili hao wanaoteseka waipate hiyo bahati
 
mwisho wa akili yako ndio Mungu anaanza kufanya kazi, nilitegemea kuwa unajua chanzo cha bahati yako ili hao wanaoteseka waipate hiyo bahati
Kwa nini ulitegemea niwe najua? Ni lazima kujua kila kitu?
 
Kwa nini ulitegemea niwe najua? Ni lazima kujua kila kitu?
kutegemea kwangu kuwa unajua, kwanini wewe hauteseki, ilikuwa ni kuona kama wewe una msaada juu ya hao ulisema wanateseka na ukishauri tuachane na imani ya uwepo wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…