Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
We una akili kweli? Inonga hakufanya hayo kwenye mechi ya NBC Ligi?jaribuni basi kuficha ujinga hata kidogo, hiyo ya inonga ilikuwa ligi au mashindano gani???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We una akili kweli? Inonga hakufanya hayo kwenye mechi ya NBC Ligi?jaribuni basi kuficha ujinga hata kidogo, hiyo ya inonga ilikuwa ligi au mashindano gani???
Hajui mpira harafu anataka kuongelea mpira...Tatizo unajifanya mjuaji kumbe kichwani ni KOPO,kwani ile ya Mukoko kigoma ilikuwa ya ligi au mashindano gan?
Wamemfungia asicheze mechi ya Simba hao ingeakua inafika mechi 4 wangefikisha 4...Inonga ile rafu aliyomfanyia Sure Boy amepata adhabu gani mbona rafu zipo nyingi sana na hatuonj wakikaa kujadili au wao wapo busy na BM tuu...
Hivi ile ya Pascal Wawa unakumbuka ni lini iliwahi kutolewa adhabu?
Ndugu hao viande watakumalizia MB bure maana hawajui walisemaloYa Shabani Djuma hivi ni lini ilitolewa uamzi? Au unajifanya kuyaona ya Simba yenu unajitia upofu.
Vipi kuhusu Pascal Wawa?Kwani katika hiyo mechi Iko ga hakupewa kadi? Unataka aadhibiwe mara mbili? Kama Morison angepewa kadi hta ya manjano kwa lile tukio leo bodi isinge muadhibu maana mchezaji hatakiwi kuadhibiwa mara mbili na vyombo viwili tofauti.
Wa kulaumiwa hapo ni mwamuzi ambae alimezea lile tukio. Ya Inonga pia anaepaswa kulaumiwa ni mwamuzi kwa kumpa kadi ya njano badala ya nyekundu.
Unapoteza muda kuelewesha vilaza mkuuHivi wewe unafatilia mpira kweli au unapiga brah brah?
Unakumbuka kule Kigoma mukoko tonombe alifanywa nini?,Mukoko alipewa red kadi na bado hiyo kamati ilimfungia,kama ndivyo kanuni inasema ya kwamba refa akishakupa kadi uwanjani kamati haitokufungia basi tuelezwe kwanini mukoko ingawa alipewa red card ambayo hakutakiwa kucheza mechi tatu kikanuni,kwanini tena kamati ilimfungia na faini juu?
Tunapoyasema haya hatumaanishi kwamba Yanga wanapokosea wasiadhibiwe,bali tunaona kabisa kuna upendeleo,kwanini iwe wachezaji wa Yanga tu waadhibiwe?,Mtenje alipocheza rafu mbaya pale arusha alipewa Yellow card lakini hatukuona kamati ikimuadhibu,Inonga alipocheza rafu mbaya alipewa Yellow Card na hatukuona kamati ikimuadhibu,Lakini mukoko tonombe alipocheza vibaya pale kigoma alipewa red kadi na Adhabu ya kufungiwa mechi kadhaa.
Haya tunayasema kwa manufaa ya mpira,leo mashabiki na viongozi wa Yanga wanalalamika lakini yanamwisho,upepo utabadirika na ipo Siku Simba na viongozi wake wataanza kulia.
Hatuhitaji shirikisho liendeshwe kiupendeleo mpaka mashabiki wenyewe wa Simba wanashangaa namn Yanga wanavyoonewa.
Mchezaji anapocheza rafu aadhibiwe haijalishi ni mchezaji wa timu gani,lakini kusiwe na upendeleo wa kanuni,kwamba kanuni hizo ziwe zinawaminya Yanga tu huku timu nyingine zikiendelea kula kuku.
Na dickson job kwanini alipewa nani pia akafungiwa mechi tatu na kamati na faini juuKwani katika hiyo mechi Iko ga hakupewa kadi? Unataka aadhibiwe mara mbili? Kama Morison angepewa kadi hta ya manjano kwa lile tukio leo bodi isinge muadhibu maana mchezaji hatakiwi kuadhibiwa mara mbili na vyombo viwili tofauti.
Wa kulaumiwa hapo ni mwamuzi ambae alimezea lile tukio. Ya Inonga pia anaepaswa kulaumiwa ni mwamuzi kwa kumpa kadi ya njano badala ya nyekundu.
Mukoko aliadhibiwa ndani ya dk 90 kule kigoma baada kumpiga kiwiko boco,na bado kamati ya masaa 72 ikamfungia michezo 3,kitendo alichofanya morrison kilifanywa na wawa alipomkanyaga nchimbi lakini wawa akupewa adhabu yoyote si ya kadi uwanjani au kufungiwa michezo 3Jaribu kua mfuatiliaji mzuri wa sheria na kanuni,rafu ya inonga ilishaadhibiwa na muamuzi kwenye mechi husika, kitendo alichofanya Morrison ni kutendo ambacho si cha kiuanamichezo na muamuzi hakukiadhibu kwakua hakukiona hivyo kinapaswa kuadhibiwa kwenye kamati ya maadili.
Kama muamuzi angekiona na kutoa adhabu yake pale pale ya kadi yoyote ile Morrison asingeadhibiwa tena!!!
Mukoko alipewa kadi Kigoma na baadae kamati ilimfungia...hapa unabahatisha tuu hawa jamaa tuwaache na maamuzi yao leo watasema hili kesho lile...Kwani katika hiyo mechi Iko ga hakupewa kadi? Unataka aadhibiwe mara mbili? Kama Morison angepewa kadi hta ya manjano kwa lile tukio leo bodi isinge muadhibu maana mchezaji hatakiwi kuadhibiwa mara mbili na vyombo viwili tofauti.
Wa kulaumiwa hapo ni mwamuzi ambae alimezea lile tukio. Ya Inonga pia anaepaswa kulaumiwa ni mwamuzi kwa kumpa kadi ya njano badala ya nyekundu.
Huu ni mwendelezo wa ujinga. Kanuni inasema adhabu ya kukosa michezo mitatu baada ya kutangazwa. Kanuni haijataja michezo gani. Kuuchukulia kuukosa mchezo dhidi ya Simba ni uonevu, huo ni upumbavu3ANAANDIKA Mchao Tv
KWA MFANO TU
Mechi ya Azam dhidi ya Yanga ilipigwa Septemba 6, 2022 (zaidi ya wiki mbili zilizopita, ni siku 16 zilizopita) ambapo mchezaji wa Yanga Bernard Morrison alifanya utovu wa nidhamu kwa kumkanyaga Lusajo Mwaikenda wa Azam kwa makusudi.
Kwa mfano Bodi ya Ligi wangekaa na kamati yao ya saa 72 na kutoa maamuzi kungekuwa na ubaya gani???
Na kama maamuzi yangekuwa kama jinsi walivyoamua, maana yake Morrison angeikosa michezo ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa Septemba 13, angeukosa pia mchezo dhidi ya Ihefu (ambao ulipangwa kuchezwa Septemba 29 kabla ya kusogezwa mbele) na angeukosa pia mchezo dhidi ya Ruvu Shooting ambao unatarajiwa kuchezwa Oktoba 3.
Tuna-assume mchezo kati ya Yanga dhidi ya Ihefu ungeahirishwa kama ilivyo hivi sasa, maana yake ni kwamba Morrison angeikosa michezo ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar (Septemba 13), dhidi ya Ruvu (Oktoba 3) na adhabu yake angeimalizia kwa kuukosa mchezo dhidi ya Namungo ambao kwa mujibu wa ratiba utachezwa Oktoba 13... halafu kwenye Kariakoo Derby dhidi ya Simba (Oktoba 23) mtoto mtukutu angekuwa ndani ya nyumba.
Jana Bodi ya Ligi walitoa taarifa ya kuusogeza mbele mchezo kati ya Yanga na Ihefu (kutoka Septemba 29 hadi Novemba 29, yaan miezi miwili mbele) halafu leo Bodi ya Ligi hao hao wanatoa taarifa za kumfungia Morrison michezo mitatu kutoka sasa ambapo mchezo dhidi ya Simba unakuwa mmojawapo kwa kosa la siku 16 nyuma.
KWA MFANO TU lakini.....Yanga wakihoji uhalali wa adhabu ya BM33 kutoka leo Shirikisho la TFF na Bodi ya Ligi watajitetea kwa lipi??
KWA MFANO TU lakini.....Yanga wakiituhumu TFF kuwa inawahujumu, ni utetezi upi utakaotolewa na wenye mamlaka kupinga hoja hiyo??
KWA MFANO TU.....Yanga ikilalamika kuwa kuna bingwa anaandaliwa na Shirikisho la soka (TFF) kama jinsi Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu alivyowahi kulituhumu Shirikisho, ni nani atakayekuwa na mamlaka ya kuchukua hatua za kinidhamu juu ya kauli hiyo.
KWA MFANO TU......yaan ni mfano tu, ni mfano ambao........
Hakika mkuuUnapoteza muda kuelewesha vilaza mkuu
Ndiyo maana wasomali wanauana aki ya naniTFF ya Walalce Karia ni takataka tu. Hakuna kitu pale. Majungu, fitina, upigaji, upendeleo, siasa, na chuki dhidi ya Yanga; ndiyo vipaumbele vyao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amekuliza tenaaaa??? PoleeeeehTFF ya Walalce Karia ni takataka tu. Hakuna kitu pale. Majungu, fitina, upigaji, upendeleo, siasa, na chuki dhidi ya Yanga; ndiyo vipaumbele vyao.
Shabani walisare kwa wawaYa Shabani Djuma hivi ni lini ilitolewa uamzi? Au unajifanya kuyaona ya Simba yenu unajitia upofu.