Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Ila washabiki wa Utopolo mnajua kulalamika mpaka mnatia aibu.Wamemfungia asicheze mechi ya Simba hao ingeakua inafika mechi 4 wangefikisha 4...Inonga ile rafu aliyomfanyia Sure Boy amepata adhabu gani mbona rafu zipo nyingi sana na hatuonj wakikaa kujadili au wao wapo busy na BM tuu...
Kwa hiyo mechi ya Simba mnamtegemea BM3 tuu hata akiugua mtaomba iahirishwe?
Hilo suala la Inonga mjibiwe mara ngapi ili muelewe kuwa mechi ile haifuati kanuni za NBC PL katika adhabu?
Yaani wote mmekuwa kama Manara katika kulalamika.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app