Sikubaliani hata kidogo na utovu wa nidhani wa Bernard Morrison, lakini kuna hoja za msingi ni lazima zijibiwe na TFF.

Wamemfungia asicheze mechi ya Simba hao ingeakua inafika mechi 4 wangefikisha 4...Inonga ile rafu aliyomfanyia Sure Boy amepata adhabu gani mbona rafu zipo nyingi sana na hatuonj wakikaa kujadili au wao wapo busy na BM tuu...
Ila washabiki wa Utopolo mnajua kulalamika mpaka mnatia aibu.
Kwa hiyo mechi ya Simba mnamtegemea BM3 tuu hata akiugua mtaomba iahirishwe?
Hilo suala la Inonga mjibiwe mara ngapi ili muelewe kuwa mechi ile haifuati kanuni za NBC PL katika adhabu?
Yaani wote mmekuwa kama Manara katika kulalamika.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Chakaza potelea mbali mkuu wacha tulalamike
 
Ila washabiki wa Utopolo mnajua kulalamika mpaka mnatia aibu.
Kwa hiyo mechi ya Simba mnamtegemea BM3 tuu hata akiugua mtaomba iahirishwe?
Hilo suala la Inonga mjibiwe mara ngapi ili muelewe kuwa mechi ile haifuati kanuni za NBC PL katika adhabu?
Yaani wote mmekuwa kama Manara katika kulalamika.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ni ushabiki unakusumbuwa au umezeeka akili zimekuwa kama za mtoto?
 
Sawa ila ni vizuri zaidi kuweka nguvu na akili kwa Waarabu wa Sudan kuliko tuhuma
Nguvu wanaweka wachezaji,kocha na viongozi sisi ni porojo tuu na kwenda uwanjani kushangilia Timu yetu hakuna zaidi ya hilo au unatoa ushauri gani hapo kwenye nguvu kwa sisi mashabiki...
 
Back
Top Bottom