Sikubaliani na jinsi Rais Samia anavyofanya Teuzi, na zitakuja kumfanya kujuta baadaye

Status
Not open for further replies.
Mimi niko kinyume kidogo na ninyi.

Mimi ninamlaani Mbowe.

Chadema imeaminiwa na Watanzania wengi, ilitosha kumpa sauti kubwa kukemea au hata kuita maandamano lkn badala yake aneungana na watesi wetu.

Upinzani imara huifanya serikali kuwajibika
Siasa za Mbowe ni za kiujanjaujanja tu, yupo kimkakati zaidi kuisaidia Ccm kichinichini.

Yale maigizo ya maridhiano yamemteka.

Bams JokaKuu zitto junior Tindo
 
Bila kupepesa macho na kupindisha maneno

Mimi ni CCM damu damu ambaye nimeanza kuwa Mwana chama wengi wenu hamjazaliwa, tokea Niko Pugu Mwaka 1979 na baadae tukasoma kupewa kadi ya CCM siyo zinazogawiwa Kama njugu!

Baada ya hapo nina machache tu ya kusema

1. Vetting ni ama haipo au inampotosha mama, hawa vijana ambao walipaswa kuwa ama Segerea au Butimba gerezani ndo wanahamishwa na kufanya mtaani watanzania wajue kuna mtu zaidi ya Mama SAMIA anayeongeza SERIKALI Huku Mama akiwa kivuli,
Mpaka watu wa kawaida tu mtaani wanaelewa kwamba kuna Tatizo mahali, sikutegemea watu Kama Maharage Chande, January na wenzake wangeendelea kuwa kwenye uteuzi wake

Pamoja na kashfa ambazo tukiziweka hapa watu watakimbiana
Wizara hii hii ya nishati Taarifa ya Migodi 336 kupelekewa umeme na Wakala wa Nishati Vijijini lakin katika migodi hiyo kuna migodi hewa imeorodheswa na kuonekana pesa inayotakiwa kupelekwa ni kwa migodi 307 tu wala si 336 kama tunavyo ambiwa na wizara hapa kuna. upigaji mkubwa sana, katika billion 300 iliyotengwa basi kuna 42,168,000,000 Yaan Bilion 42 zimeshaelekea Kibra asubuhi na mapema, si hapo tu kuna Taarifa za Ku repair Vipuli kila siku invoice ni za maeneo yale yale na hakuna kinachorekebishwa ila zinasainiwa pesa tu wanaondoka Takriban Miezi minne mfululizo kuanzia mwezi wa 2-6 mwaka huu zimeshenda pesa hewa zaidi ya 546,000,000 Kwa matengenezo hewa ambayo hayafanyiki nakuambia siku moja kuna mtu atakuja kujilipua live kwenye Tv kusema haya
👉🏻👉🏻Wizara kiujanja ili tangaza mnada wa hadhara wa vifaa chakavu. Mnada huo ulifanyika siku ya Ijumaa tarehe 23 Novemba, 2021 kuanzia saa 4 :00 asubuhi kwenye eneo la Ofisi za Wizara ya Nishati Mtaa wa Samora Jengo la TANESCO. (karibu na Jengo la British Council)

Vifaa vilivyouzwa kiini Macho ni pamoja na Viti, Meza, Steel Cabinets, Microwave, Air Condition, fax Mchine, Telephone receivers, Printers, Scanners, Computers, na UPS. Hivi hakukuwa na kifaa chakavu ilikuwa ni dili la mkubwa kumpa mwenzake wa kariakoo tenda ili waongeze ten percent kwenye vifaa vingine watakavyonunua, na mbaya Zaidi vifaa si vyote viliuzwa na ikatumika pesa kubwa ya wizara kufanya kwamba wameagiza vifaa vingine, Takriban million 700, yaan vifaa vyenyewe havifiki hata million 80, anyway sisi kanyaboya tulikaa kimya,
lakini nje yah apo kuna gari jipya la wizara likawekwa plate number binafsi mara moja nalo eti kapata kwa mnada wakati hata kwenye orodha halikuwapo kauziwa mwenzao kiujanja Kama chakavu na tenda ikaandikwa Upya kupata gari jingine haraka Kwa bei ya juu 420M

Ishu ya kutuhumiwa tu ilipaswa imuache Makamba na Maharage nje ya teuzi Ila Mama akawakumbatia hii ni nini?

Najua makamba ni rafiki wa mwenye forum Hii Uzi huu hautamaliza muda,

Ila ishu ya msingi ni kumfahamisha Rais haya

Ukizingatia aliyemchangua Maharage ni January na amekiri mwenyewe Pamoja na barua kusema aliyemchagua ni Rais, Ila kwa clip ya Maneno ya Makamba ni Makamba mwenyewe na jiulize

Hapo zamani kuna vijana wangu wa kazi walifanya kazi na Maharage taasisi moja kubwa, yeye akiwa kijana sana kuaminiwa nafasi ya pili kwa ukubwa katika taasisi hiyo. Kiukweli kabisa ni kati ya watu wachache sanaa wamebarikiwa kuwa na akili nyingi mnoo yaan mnoo... Na ambao kimtazamo wangu anazitumia kufikiri/kufanyia tofauti.

Kama mtakumbuka nilijiuliza sana anawezaje kuacha mshahara wa Multichoice, Ukurugenzi wa kanda ya Afrika Mashariki na kati na akiwa anakaimu kanda ya Afrika Magharibi ambapo kimsingi mshahara wake ulikuwa haupungui TZS 80Mio kwa mwezi kisha aende Tanesco ambako mshahara wake na marupurupu hauzidi TZS 15Mio? Hapa kulikuwa na fumbo kubwa sana na niliutazama kama mpango wa uchafu kati ya wote waliompendekeza na yeye pia.

Anyway hili ni tatizo letu kamaTaifa, kuamini kuwa wanaoteua/wanapendekeza wanakuwa na akili sana kuliko watanzania wengine wote na hivyo hawana Muda wa kusikiliza.

Maharage ni kama wengi wana kashfa nyingi sana sana hawafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi ila kwa sababu ni kashfa zilizoifanya Serikali kuendelea kuwepo nyakati fulani ngumu basi bado kama Taifa/Chama tunaendelea kuoneana aibu anapewa nafasi zingine.

Britanicca Encyclopaedia
Duh,
Nchi inatafunwa balaa!
 
Kitu nilichoshindwa kuelewa had leo,Maharage aliteuliwa na January lakini kabadilishwa na Samia....apo kidogo nimekuwa confused.....haya mambo yanayotokea huwezi shangaa kama ulishafanya kazi na boss wako ni Mwanamama na amepata hicho cheo by favour or chance tu na wala sio uwezo wake....kama hana maono hiyo taasisi/kampuni au chochote anachokiongoza kama hajawahiwa lazima kiingie kaburini
 
Siasa za Mbowe ni za kiujanjaujanja tu, yupo kimkakati zaidi kuisaidia Ccm kichinichini.

Yale maigizo ya maridhiano yamemteka.

Bams JokaKuu zitto junior Tindo
Asipoachia uenyekiti cdm itadumaa, amefikia ukomo.

Mikutano yako haisisimui tena japo anatumia chopa.

Lissu hata akitembea kwa miguu ni habari ya mjini
 
Bila kupepesa macho na kupindisha maneno

Mimi ni CCM damu damu ambaye nimeanza kuwa Mwana chama wengi wenu hamjazaliwa, tokea Niko Pugu Mwaka 1979 na baadae tukasoma kupewa kadi ya CCM siyo zinazogawiwa Kama njugu!

Baada ya hapo nina machache tu ya kusema

1. Vetting ni ama haipo au inampotosha mama, hawa vijana ambao walipaswa kuwa ama Segerea au Butimba gerezani ndo wanahamishwa na kufanya mtaani watanzania wajue kuna mtu zaidi ya Mama SAMIA anayeongeza SERIKALI Huku Mama akiwa kivuli,
Mpaka watu wa kawaida tu mtaani wanaelewa kwamba kuna Tatizo mahali, sikutegemea watu Kama Maharage Chande, January na wenzake wangeendelea kuwa kwenye uteuzi wake

Pamoja na kashfa ambazo tukiziweka hapa watu watakimbiana
Wizara hii hii ya nishati Taarifa ya Migodi 336 kupelekewa umeme na Wakala wa Nishati Vijijini lakin katika migodi hiyo kuna migodi hewa imeorodheswa na kuonekana pesa inayotakiwa kupelekwa ni kwa migodi 307 tu wala si 336 kama tunavyo ambiwa na wizara hapa kuna. upigaji mkubwa sana, katika billion 300 iliyotengwa basi kuna 42,168,000,000 Yaan Bilion 42 zimeshaelekea Kibra asubuhi na mapema, si hapo tu kuna Taarifa za Ku repair Vipuli kila siku invoice ni za maeneo yale yale na hakuna kinachorekebishwa ila zinasainiwa pesa tu wanaondoka Takriban Miezi minne mfululizo kuanzia mwezi wa 2-6 mwaka huu zimeshenda pesa hewa zaidi ya 546,000,000 Kwa matengenezo hewa ambayo hayafanyiki nakuambia siku moja kuna mtu atakuja kujilipua live kwenye Tv kusema haya
👉🏻👉🏻Wizara kiujanja ili tangaza mnada wa hadhara wa vifaa chakavu. Mnada huo ulifanyika siku ya Ijumaa tarehe 23 Novemba, 2021 kuanzia saa 4 :00 asubuhi kwenye eneo la Ofisi za Wizara ya Nishati Mtaa wa Samora Jengo la TANESCO. (karibu na Jengo la British Council)

Vifaa vilivyouzwa kiini Macho ni pamoja na Viti, Meza, Steel Cabinets, Microwave, Air Condition, fax Mchine, Telephone receivers, Printers, Scanners, Computers, na UPS. Hivi hakukuwa na kifaa chakavu ilikuwa ni dili la mkubwa kumpa mwenzake wa kariakoo tenda ili waongeze ten percent kwenye vifaa vingine watakavyonunua, na mbaya Zaidi vifaa si vyote viliuzwa na ikatumika pesa kubwa ya wizara kufanya kwamba wameagiza vifaa vingine, Takriban million 700, yaan vifaa vyenyewe havifiki hata million 80, anyway sisi kanyaboya tulikaa kimya,
lakini nje yah apo kuna gari jipya la wizara likawekwa plate number binafsi mara moja nalo eti kapata kwa mnada wakati hata kwenye orodha halikuwapo kauziwa mwenzao kiujanja Kama chakavu na tenda ikaandikwa Upya kupata gari jingine haraka Kwa bei ya juu 420M

Ishu ya kutuhumiwa tu ilipaswa imuache Makamba na Maharage nje ya teuzi Ila Mama akawakumbatia hii ni nini?

Najua makamba ni rafiki wa mwenye forum Hii Uzi huu hautamaliza muda,

Ila ishu ya msingi ni kumfahamisha Rais haya

Ukizingatia aliyemchangua Maharage ni January na amekiri mwenyewe Pamoja na barua kusema aliyemchagua ni Rais, Ila kwa clip ya Maneno ya Makamba ni Makamba mwenyewe na jiulize

Hapo zamani kuna vijana wangu wa kazi walifanya kazi na Maharage taasisi moja kubwa, yeye akiwa kijana sana kuaminiwa nafasi ya pili kwa ukubwa katika taasisi hiyo. Kiukweli kabisa ni kati ya watu wachache sanaa wamebarikiwa kuwa na akili nyingi mnoo yaan mnoo... Na ambao kimtazamo wangu anazitumia kufikiri/kufanyia tofauti.

Kama mtakumbuka nilijiuliza sana anawezaje kuacha mshahara wa Multichoice, Ukurugenzi wa kanda ya Afrika Mashariki na kati na akiwa anakaimu kanda ya Afrika Magharibi ambapo kimsingi mshahara wake ulikuwa haupungui TZS 80Mio kwa mwezi kisha aende Tanesco ambako mshahara wake na marupurupu hauzidi TZS 15Mio? Hapa kulikuwa na fumbo kubwa sana na niliutazama kama mpango wa uchafu kati ya wote waliompendekeza na yeye pia.

Anyway hili ni tatizo letu kamaTaifa, kuamini kuwa wanaoteua/wanapendekeza wanakuwa na akili sana kuliko watanzania wengine wote na hivyo hawana Muda wa kusikiliza.

Maharage ni kama wengi wana kashfa nyingi sana sana hawafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi ila kwa sababu ni kashfa zilizoifanya Serikali kuendelea kuwepo nyakati fulani ngumu basi bado kama Taifa/Chama tunaendelea kuoneana aibu anapewa nafasi zingine.

Britanicca Encyclopaedia
Tatizo lipo kwa mteuaji kwani na yeye ni sehemu ya ufisadi unaoendelea kulitafuna taifa letu
 
Duuuuu!
 
1. Alipuuzia kuunda parallel intelligence. Pengine hajui umuhimu wake kwa kuamini kila aliyeko chini yake hana uwezo wa kutenda kinyume na maagizo.

2. Amejiweka kwenye mazingira ambayo mnyetishaji yeyote mwenye jicho la tatu ni ngumu kumfikia unless uwe chawa. Kwa bahati mbaya wanyetishaji wengi sio chawa hivyo basi wanamuacha aamue kadiri aonavyo inafaa yeye na kikundi 'Kilichomsaidia' kurithi madaraka kidemokrasia.
 
Hii Ni mipango ya CCM na Serikali yake ya awamu ya 6 Ni maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na uchaguzi wa Raisi na wabunge 2025.
Serikali lazima iwaweke Watendaji wajanja wajanja ( Makada) na wataambiwa wasisikilize maneno ya kwenye mitandao au wapinzani. Kiongozi Mkuu anajua kila kinachoendelea hapo, na wapinzani nao wameahidiwa ruzuku.Wavuja jasho shauri yao.
-Siku hizi sina uhakika Kama kampuni hewa ya kimagumashi Kama Meremeta au Sukita, ambazo zilitumika miaka ya nyuma kama zipo baada ya CAG wa Zamani kutoa hoja za ukaguzi.
Ushauri
-iundwe Bodi au tume maalum ya wataalam ya kuwafanyia usaili Watendaji wakuu na wakurugenzi wa taasisi mbalimbali za umma .Last week nimeona Gavana wa Bank Kuu Kenya anafanyiwa interview na kamati maalum ambayo itatoa mapendekezo kwa Rais kwa uteuzi Katika maswali wawe wanaulizwa mali na madeni waliyonayo (Net worth) na vyanzo vya mapato yao.Aidha waombaji wawe wanaulizwa,namna watakavyo tumia muda wao kuhudumu kwenye taasisi ya umma na binafsi.
-suala hili liwekwe kwenye katiba pendekezwa
 
Kwa hali ilivyo ni dhahiri kuwa mama amezongwa na wahuni....na bahati mbaya sana ni kwamba mama amechagua kuwaamini wahuni na wameamua kumfanyia uhuni mbele ya macho yake........

Kwa kweli mama kadri Siku zinavyokwenda anazidi kuudhalilisha urais.....
"ukipewa ushauri wa kipumbavu,nawe ukajua niwa kipumbavu na ukaufanyia Kazi basi aliyekupa ushauri huo anakudharau"Mwl.Nyerere
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom